Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad Akutana na Waandishi wa Habari

 Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi utakaoanza tarehe 14 Mei 2014 katika Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.  Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi linalotarajiwa kufanyika kesho tarehe 14 Mei 2014 katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU WA BARAZA LA WAWAKILISHI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi utakaoanza tarehe 14 Mei 2014 katika Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa gaazeti la Daly News Issa Yussuf akiuliza maswali katika mkutano na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad alipokutana na waandishi wa Habari kuzungumzia shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA MAZIKO YA MAREHEMU SPIKA MSTAAFU WA BARAZA LA WAWAKILISHI MAREHEMU ALI KHAMIS ABDALLAH

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika kumswalia Marehemu Ali Khamis Abdallah, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  katika Masjid Makhfoudh ulioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar jana Makamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar wakilibeba jeneza la Marehemu Ali Khamis  Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

11 years ago

GPL

KATIBU WA BAHAKITA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Katibu Mkuu wa BAHAKITA, Said Mwaipopo akisoma taarifa ya tamko kwa wanahabari. Akionyesha karatasi iliyochorwa ramani ya majengo ya mwekezaji wa kampuni ya MNG PROPERTIES endapo utakamilika.…

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA LA NISHATI DUNIANI

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Nishati Duniani Bwana Selim Kuneralp (kushoto) na Mhandisi John F. Kitonga wa kitengo cha Maendeleo ya Nishati Wizara ya Nishati na Madini Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bwana Kuneralp amefika ofisi za Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji kubadilishana mawazo na Balozi Kamala kuhusu kazi za Baraza la Nishati Duniani na jinsi Tanzania inavyoweza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete akutana na waandishi wa habari, kuzungumzia mwenendo wa kampeni zake

MMG27264

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake wa kuzungumzia mwenendo mzima wa Kampeni zake,leo April 4,2014,Nyumbani kwake Msoga.(Picha na Othman Michuzi).

MMG27275

 

9 years ago

Vijimambo

Kaimu Katibu Mkuu azungumza na waandishi wa Habari kuhusu Wiki ya Umoja wa Mataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahaya (wa pili kutoka kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Pamoja kwenye picha ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (wa kwanza kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani