WAKILI ELIAS NAWERA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
Wakili Elias Nawera akionyesha alama ya dole baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Lilian Mkosani. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kawe, kada wa chama hicho, Wakili Elias Nawera (katikati), Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Wakili Elias Nawera achukua fomu za kuwania Ubunge jimbo la Kawe Jijini Dar
10 years ago
VijimamboMUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE WAKILI ELIAS NAWERA KUMPA USHIRIKIANO ATAKAYEPITISHWA NA CCM, AELEZEA KUHUSISHWA NA RUSHWA
10 years ago
VijimamboMTANGAZA NIA YA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM, WAKILI ELIAS NAWERA AHIMIZA VIJANA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Mgombea ubunge Kawe, Wakili Elias Nawera ahadi kumpa ushirikiano atakayepitishwa na CCM, aelezea kuhusishwa na rushwa
10 years ago
VijimamboJUMAA MHINA 'PIJEI' ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE
Waandishi wa habari...
9 years ago
Vijimambo18 Aug
MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA SERIKALI YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA
10 years ago
VijimamboKADA WA CCM ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziIDD AZAN na Jumaa Mhina 'Pijei' wachukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni na Kawe
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Jamii UVCCM Dar es Salaam na Kamanda mstaafu wa wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni, na Wakili wa Mahakama kuu, Jumaa Mhina 'Pijei' akikabidhiwa fomu ya kuomba kuwania Ubunge Jimbo la Kawe,jana jijini Dar es Salaam kupitia...
10 years ago
VijimamboKAMANDA JOHN BUYAMBA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ILEMELA.
Na:George GB PazzoMakada mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Mwanza, wameendelea kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya chama hicho ili kugombea nafasi za uongozi kwa ngazi za Udiwani na Ubunge.
Zaidi ya Makada sita wa chama hicho tayari wamejitokeza na kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ilemela,...