MTANGAZA NIA YA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM, WAKILI ELIAS NAWERA AHIMIZA VIJANA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wakili Elias Nawera akizungumza na vijana wa Kata ya Kawe.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili Elias Nawera ambaye ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM akizungumza na wananchi hasa vijana kwenye fainali ya mpira wa miguu kati ya timu ya Halisi FC na Stand United zilizofanyika viwanja vya Tanganyika Peackers Kawe Dar es Salaam jana ambapo aliwaomba ifikapo Julai 4 mwaka huu kujitokeza kwa wingi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE WAKILI ELIAS NAWERA KUMPA USHIRIKIANO ATAKAYEPITISHWA NA CCM, AELEZEA KUHUSISHWA NA RUSHWA
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Wakili Elias Nawera achukua fomu za kuwania Ubunge jimbo la Kawe Jijini Dar
10 years ago
VijimamboWAKILI ELIAS NAWERA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Mgombea ubunge Kawe, Wakili Elias Nawera ahadi kumpa ushirikiano atakayepitishwa na CCM, aelezea kuhusishwa na rushwa
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/2.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-_89w4z7Ze_w/VYJTXMYF9xI/AAAAAAABAOM/T9KzTjfIt24/s72-c/A%2B1.jpg)
MBUNGE NASSAR ATUMIA HELKOPTA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-_89w4z7Ze_w/VYJTXMYF9xI/AAAAAAABAOM/T9KzTjfIt24/s640/A%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kKb04KzWZjQ/VYJTaMnzlmI/AAAAAAABAO4/Bsc7DJtVZmc/s640/A%2B2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kWAiMKGaAN4/VYJTdre3qOI/AAAAAAABAPo/sMxr8xPhOg4/s640/A%2B9.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QToasQsruHc/VYHlIEqw0kI/AAAAAAAARMQ/cHSTN_av1j0/s72-c/E86A0679%2B%2528800x533%2529.jpg)
NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
![](http://4.bp.blogspot.com/-QToasQsruHc/VYHlIEqw0kI/AAAAAAAARMQ/cHSTN_av1j0/s640/E86A0679%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5z9YxFIi0Gw/VYHlIVP_iuI/AAAAAAAARMM/vyKSW3kb7YE/s640/E86A0705%2B%2528800x533%2529.jpg)
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1XzvtmNyzag/VU8954o1o-I/AAAAAAAAAeQ/9pAVSebXWSI/s72-c/_MG_2501.jpg)
MAALIM SEIF AHIMIZA WAZANZIBAR KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF),amesema kuwa uchaguzi mkuu uliopita ulikuwa wa uhuru na wa amani lakini ulikuwa na kasoro katika daftari la...
10 years ago
Michuzi28 Apr
MBUNGE NATSE AWATAKA WANANCHI WA KARATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
![SAM_2291](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/zOMv8JkVCbFSkBbIAnHyfn0960gF-QbzBd8w4sg7JjUqZw8tubgWnNuwKX3Vuc-h0ixUIyEP40U7zdzHt-cUkkI451MECd9ayqolqQeVWiMDPF8=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/04/sam_2291.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Jerry Silaa awataka wakazi wa Lindi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa wakati akiongea kwenye kilele cha sherehe za kutimiza miaka 38 ya chama hicho...