Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea ubunge Kawe, Wakili Elias Nawera ahadi kumpa ushirikiano atakayepitishwa na CCM, aelezea kuhusishwa na rushwa

Mgombea nafasi ya kuwania ubunge Jimbo la Kawe, Wakili Elias Nawera (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi.2Mgombea nafasi ya kuwania ubunge Jimbo la Kawe, Wakili Elias Nawera (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kumpa ushirikiano mgombea wa nafasi hiyo aliyeshinda kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo na kukamatwa kwake na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE WAKILI ELIAS NAWERA KUMPA USHIRIKIANO ATAKAYEPITISHWA NA CCM, AELEZEA KUHUSISHWA NA RUSHWA

  Mgombea nafasi ya kuwania ubunge Jimbo la Kawe, Wakili Elias Nawera (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi. Mgombea nafasi ya kuwania ubunge Jimbo la Kawe, Wakili Elias Nawera (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kumpa ushirikiano mgombea wa nafasi hiyo aliyeshinda kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo na kukamatwa kwake na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANGAZA NIA YA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM, WAKILI ELIAS NAWERA AHIMIZA VIJANA KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Wakili Elias Nawera akizungumza na vijana wa Kata ya Kawe. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili Elias Nawera ambaye ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM akizungumza na wananchi hasa vijana kwenye fainali ya mpira wa miguu kati ya timu ya Halisi FC na Stand United zilizofanyika viwanja vya Tanganyika Peackers Kawe Dar es Salaam jana ambapo aliwaomba ifikapo Julai 4 mwaka huu kujitokeza kwa wingi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakili Elias Nawera achukua fomu za kuwania Ubunge jimbo la Kawe Jijini Dar

Wakili Elias Nawera akionyesha alama ya dole baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Lilian Mkosani.  Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kawe, kada wa chama hicho, Wakili Elias Nawera (katikati), Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKILI ELIAS NAWERA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

Wakili Elias Nawera akionyesha alama ya dole baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Lilian Mkosani. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kawe, kada wa chama hicho, Wakili Elias Nawera (katikati), Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKUNA MGOMBEA ATAKAYEPITISHWA CCM KWA PRESHA ZA MAKUNDI

NA BASHIR NKOROMO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

NAPE: Hakuna mgombea atakayepitishwa CCM kwa presha za makundi, ni kwa kukidhi vigezo vya kanuni na katiba za chama tu

NA BASHIR NKOROMO

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

KADA WA CCM ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili wa Kujitegemea, Elias Nawera (katikati), akizungumza na wanachama hicho na viongozi mbalimbali wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Kawe Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kawe, Athumani Athumani na Katibu wa CCM wa kata hiyo, Said Kheri.Kada huyo, Elias Nawera (katikati), akizungumza na wanachama wa CCM na viongozi mbalimbali (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani