ORAPH MHEMA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MAKAMBAKO AELEZEA JINSI ATAKAVYOKABILIANA NA KERO YA MAJI NA AFYA JIMBONI HAPO
![](http://img.youtube.com/vi/pLF-wX4MuXo/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-9iQdVgD7Kbs/VepIvocO0VI/AAAAAAABgFk/BbGHOKLg2Dw/s72-c/Kasim%2BMsham.jpg)
MGOMBEA MWENZA WA UKAWA AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KISARAWE RASHID MWISHEHE "KINGWENDU"
![](http://2.bp.blogspot.com/-9iQdVgD7Kbs/VepIvocO0VI/AAAAAAABgFk/BbGHOKLg2Dw/s640/Kasim%2BMsham.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-5eDMxtuCzGE/VepIm1dnDxI/AAAAAAABgFE/xIvF9zITspE/s640/umati%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mwdG9uRX5fY/VepIvXFuVjI/AAAAAAABgFg/_onu9TBogyk/s640/umati.jpg)
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AAHIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO
Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za huduma...
9 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AHAIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO
Na Dotto Mwaibale
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za huduma...
9 years ago
VijimamboUPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo:...
9 years ago
MichuziMgombea wa Ukawa Maulid Mtulila azindua kampeni ya ubunge jimboni Kinondoni
Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA vimezindua kampeni za ubunge kwa jimbo la Kinondoni ambapo mamia ya watu walihunduria katika viwanja vya Mapilau. Ukawa wameamua kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo toka vyama vya Chadema, CUF, NCCR Mageu na NLD ambapo kwa jimbo la Kinondoni Ukawa imemsimamisha Maulid Salum...
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Mgombea ubunge Kawe, Wakili Elias Nawera ahadi kumpa ushirikiano atakayepitishwa na CCM, aelezea kuhusishwa na rushwa
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/2.jpg)
10 years ago
GPLJIMBO LA KOROGWE; MTO UMEPITA JIMBONI, MAJI NI SHIDA
Mbunge wa Korogwe Nasir akichangia hoja ya mafuta bungeni. Makala:Mwandishi Wetu,
BAADA ya wiki iliyopita safu hii kutembelea Jimbo la Temeke, wiki hii tupo Jimbo la Korogwe Mjini linaloongozwa na mbunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph
Abdallah Nassir. Baadhi ya wapiga kura waliozungumza na safu hii walisema matatizo mengi ya Jimbo la Korogwe yanatokana na usimamizi mbovu wa viongozi wa ngazi za juu. Wapiga kura wa...
10 years ago
VijimamboMUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE WAKILI ELIAS NAWERA KUMPA USHIRIKIANO ATAKAYEPITISHWA NA CCM, AELEZEA KUHUSISHWA NA RUSHWA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania