Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kalapina kuwania ubunge Kinondoni

MWANAMUZIKI wa Hip Hop, Kalama Masoud ‘Kalapina’ aliyekuwa amewekewa pingamizi ya kuwania ubunge katika Jimbo la Kinondoni, ameshinda rufani yake katika Tume ya Uchaguzi na kwa sasa ni mgombea rasmi wa jimbo hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, KARAMA MASUDI "KALAPINA" AZINDUA KAMPENI ZAKE

 Mgombea wa ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Kalapina akikabidhi sera na ilani ya chama cha ACT Wazalendo kwa kiongozi wa chama hicho katika soko la Tandale. Mgombea wa ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Kalapina akizungumza na wakazi wa tandale wakati wa kufungua Kampeni za chama chicho jijini Dar es Salaam. Mgombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama hicho, Janet Joel Akizungumza na wakazi wa tandale alipopata nafasi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam. Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

Michuzi

WAKILI EMMANUEL TAMILA MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wakili  wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

Michuzi

IDD AZAN na Jumaa Mhina 'Pijei' wachukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni na Kawe

  Mbunge wa Jimbo la Kinondoni anayemaliza muda wake, Mhe. Idd Azzan, akionesha fomu ya kuomba kuwania tena ubunge wa Jimbo la Kinondoni aliyokabidhiwa jana jijini Dar es Salaam, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Jamii UVCCM Dar es Salaam na Kamanda mstaafu wa wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni, na Wakili wa Mahakama kuu, Jumaa Mhina 'Pijei' akikabidhiwa fomu ya kuomba kuwania Ubunge Jimbo la Kawe,jana jijini Dar es Salaam kupitia...

 

11 years ago

Mwananchi

Kalapina: Mwanahiphop, bondia anayeota ubunge Jimbo la Kigamboni

>Mwaka umeanza, kila mtu anapanga mikakati yake kuelekea 2015. Lakini kwa mwanamuziki wa Hiphop Karama Masoud maarufu Kalapina amemaliza mwaka 2013 kwa mbwembwe nyingi, akipanga mwaka 2014 kuumaliza akiwa ameshapanda ulingoni kupambana na bingwa wa ngumi za kulipwa za uzito wa juu nchini Alfonce Mchumiatumbo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

KARAMA MASOUD ‘KALAPINA’: Mwanamuziki, mwanamasumbwi anayeuwazia ubunge 2015

MALENGO ya kufanya kitu katika moyo wa mtu yanakuja pale ambapo anatamani kuwa mtu fulani katika jamii inayomzunguka. Baadhi ya wasanii wamekuwa wakianika mipango na mikakati yao katika kazi zao...

 

9 years ago

Vijimambo

KALAPINA WA KIKOSI CHA MIZINGA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KINONDONI KWA TIKETI ACT WAZALENDO


Msanii wa muziki  wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Bibi Ikunda Lyimo siku ya Ijumaa jioni. Kala Pina aligombea udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo alishindwa na mgombea wa CCM. Hapa akiwasili katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kinondoni katika usafiri wa pikpiki. Akiwa ameambatana na wapambe...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Atangaza kuwania ubunge Arumeru


NA SHAABAN MDOE, ARUMERU
JOTO la ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki limezidi kupanda baada ya kada wa CCM wilayani humo, Elirehema Kaaya, kutangaza kuwania kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kaaya ambaye aliwahi kugombea nafasi hiyo mwaka 2005 na 2010, alisema juzi, kuwa hajakata tamaa kwa kuwa anaamini amejipanga kikamilifu.
Mtangaza nia huyo ambaye kwa sasa ni Ofisa Uhusiano wa Jiji la Mwanza, alisema kilichomsukuma kuwania ubunge ni pamoja na kusukumwa na dhamira ya kutatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani