Uandikishaji wa BVR Njombe kumalizika Aprili
>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura mkoani Njombe utakamilika Aprili 12.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Mar
Uandikishaji BVR Njombe bado tatizo
Na Michael Katona, Njombe KAZI ya uandikishaji wa daftari ya kudumu la wapigakura kwa Mfumo wa Kielektroniki (BVR) katika mkoa wa Njombe, limeanza rasmi katika kata za Mjimwema, Yakobi na Kifanya.Hata hivyo, uandikishaji huo umeanza kwa kulalamikiwa na wananchi kwamba unasuasua na kusababisha wananchi wachelewe kwenye vituo, kutokana na mtu mmoja kutumia muda mrefu kujiandikisha.Mwandishi wa habari hii alitembelea kata ya Mjimwema, katika vituo vya Melinze, Mjimwema, NJOSS, Mpechi na Joshoni...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
UANDIKISHAJI: Njombe hawana taarifa za BVR
>Siku moja kabla ya kuanza uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Wapigakura, wakazi wengi wa Mkoa wa Njombe hawajui uwepo mchakato huo, huku wengine wakionyesha wasiwasi na muda utakaotumika.
11 years ago
GPLRATIBA VPL YAREKEBISHWA, LIGI KUMALIZIKA APRILI 19
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeifanyia marekebisho ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ambapo sasa itamalizika Aprili 19 mwaka huu badala ya Aprili 27 mwaka huu. Marekebisho hayo yamefanyika ili kutoa fursa kwa timu ya Taifa 9Taifa Stars) kujiandaa kwa mechi za mchujo la Kombe la Afrika 2015 ambapo itacheza raundi ya awali Mei mwaka huu. Kutokana na marekebisho hayo, Yanga itacheza na Prisons (Uwanja wa Taifa) Machi 26 mwaka...
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Uandikishaji BVR Dar majanga
>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itatakiwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha inatimiza mipango yake kuelekea katika Uchaguzi Mkuu kutokana na ugumu unaoweza kutokea katika kukamilisha uandikishaji wapigakura katika jiji la Dar es Salaam na ugawaji wa mipaka ya majimbo nchini.
10 years ago
Mwananchi19 Dec
BVR ‘zachemsha’ uandikishaji Dar
Uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa BVR unaoendelea katika kata tatu za Jiji la Dar es Salaam umeanza kusuasua kutokana na matatizo ya watendaji na mashine zinazotumika kwenye uandikishaji huo.
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Hesabu za uandikishaji BVR zinagoma
>Licha ya Serikali kusisitiza kuwa uandikishaji wa wapigakura nchi nzima kwa mfumo wa BVR utakamilika Aprili 28 na Kura ya Maoni kufanyika Aprili 30, mwaka huu kama ilivyopangwa, hesabu zilizopigwa na Mwananchi zinakataa kuwianisha siku zilizosalia na idadi ya mashine za BVR zilizopo na zinazotarajiwa kuwasili. Hali hiyo imejitokeza zikiwa zimebaki siku 36 kabla ya Kura ya Maoni kufanyika, huku kukiwapo wasiwasi miongoni mwa wadau kuhusu uwezekano wa kufanikisha matukio hayo bila...
10 years ago
Habarileo12 Aug
UN wasifia uandikishaji wa BVR Zanzibar
OFISA Mwandamizi kutoka Umoja wa Mataifa (UN) anayeshughulikia Kitengo cha Uchaguzi Mkuu, Hamida Kibwana amesema uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa BVR, umefanyika vizuri huku vyama vyote vikionesha kuridhishwa nao.
10 years ago
Mwananchi26 Jun
NEC itathmini uandikishaji wa BVR
Lawama na vurugu za shughuli za uandikishaji wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, vinazidi kupamba moto siku hadi siku.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania