Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RATIBA VPL YAREKEBISHWA, LIGI KUMALIZIKA APRILI 19

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeifanyia marekebisho ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ambapo sasa itamalizika Aprili 19 mwaka huu badala ya Aprili 27 mwaka huu. Marekebisho hayo yamefanyika ili kutoa fursa kwa timu ya Taifa 9Taifa Stars) kujiandaa kwa mechi za mchujo la Kombe la Afrika 2015 ambapo itacheza raundi ya awali Mei mwaka huu. Kutokana na marekebisho hayo, Yanga itacheza na Prisons (Uwanja wa Taifa) Machi 26 mwaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji wa BVR Njombe kumalizika Aprili

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura mkoani Njombe utakamilika Aprili 12.

 

10 years ago

Mtanzania

Ratiba VPL yazibana Simba, Yanga

Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu ujao, imeonekana kuzibana timu za Simba na Yanga ambazo zitacheza mechi nyingi ugenini kwenye mzunguko wa pili tofauti na mabingwa watetezi, Azam FC.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo iliyotolewa juzi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inaonesha Simba na Yanga zitacheza mechi saba nyumbani kwenye mzunguko wa kwanza, huku zikicheza mechi saba ugenini mzunguko wa pili.

Maximo

Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC


HOLLYWOOD BALLROOM – SILVER SPRING, MARYLAND

(MUDA/SAA)

12:00 - 1:00

Kuwasili kwa Wanachama na Wageni Waalikwa

Washiriki Wote

Hollywood Ballroom

1:15-1:25

Ukaribisho Rasmi na maelezo kuhusu CHAUKIDU

Mkurugenzi wa CHAUKIDU-Dr. L. Muaka

Hollywood Ballroom

1:30-2:30

CHAKULA CHA JIONI

- Shairi (Anna Mwalagho)

- Wimbo - Kizazi Kipya (AJ Ubao)

- Kanga Fashion Show (Ma Winny)

MC / Mhudumu wa Chakula / Wasanii

Hollywood Ballroom

2:30-2:45

...

 

11 years ago

Michuzi

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanza septemba 20, 2014

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 itaanza kutimua vumbi Septemba 20 mwaka huu.
Awali michuano hiyo ilikuwa ianze Agosti 24 mwaka huu, lakini Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limelazimika kuisogeza mbele kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupitisha michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame).
Michuano ya Kombe la Kagame inayoshirikisha mabingwa wa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mechi za Ligi ya soka ya England kuahirishwa hadi tarehe 3 Aprili

Mechi za Ligi kuu ya soka ya England zitaahirishwa hadi tarehe 4 Aprili kufuatia baadhi ya wachezaji wa ligi hio kupatikana na maambukizi ya virusi vya Corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani