Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanza septemba 20, 2014

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 itaanza kutimua vumbi Septemba 20 mwaka huu.
Awali michuano hiyo ilikuwa ianze Agosti 24 mwaka huu, lakini Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limelazimika kuisogeza mbele kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupitisha michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame).
Michuano ya Kombe la Kagame inayoshirikisha mabingwa wa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LIGI KUU YA VODACOM KUANZA SEPTEMBA 12

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) itaanza Sept 12 badala ya Agosti 22 ili kumpa Charles Mkwasa fursa ya kuendelea na program yake kuelekea mechi ya Taifa Stars vs Nigeria itakayochezwa Sept 5. 

Mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayozikutanisha Azam FC dhidi ya Yanga SC sasa itachezwa Agosti 22 badala ya Agosti 15. 
Ratiba ya Ligi Kuu iliyokuwa imeandaliwa, sasa inafanyiwa marekebisho kwa ajili ya tarehe mpya ya kuanza, ambapo pamoja na mambo mengine mechi sasa zitachezwa wikiendi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania kuanza Septemba

Ligi kuu ya Tanzania itaanza kutimua vumbi hapo Septemba 12, katika viwanja tofauti na kufikia tamati Mei saba mwaka 2016.

 

9 years ago

Michuzi

Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.

Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.Kwa kuibuka mchezaji bora, Kiiza atazawadiwa sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom.Kiiza ambaye ameisadia Simba kufanya vizuri kwenye mwezi huo, ikiwemo kufunga mabao matatu (hat trick) kwenye mechi dhidi ya Kagera Sugar aliwashinda washambuliaji wa timu za Stand United, Elias Maguli,  na Yanga, Amisi Tambwe.Ndani ya mwezi Septemba ambapo zilichezwa raundi...

 

9 years ago

GPL

VODACOM YAMWAGA VIFAA VYENYE THAMANI YA MIL 4.9 KWA TIMU ZA LIGI KUU (VPL) 2015/2016

Baadhi ya waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali nchini wakiwa kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.9 kwa timu zote zinazoshiriki ligi kuu ya mpira wa miguu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) leo vilivyokabidhiwa na mdhamini mkuu wa ligi hiyo kampuni ya Vodacom Tanzania. Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akiongea na waandishi wa habari na...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAMWAGA VIFAA VYENYE THAMANI YA MILION 4.9 KWA TIMU ZA LIGI KUU(VPL)2015/2016

 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa akiongea na waandishi wa habari na wawakilishi wa vilabu mbalimbali wa timu zinazoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.9 kwa timu zote zinazoshiriki ligi hiyo leo vilivyokabidhiwa na mdhamini mkuu wa ligi kampuni ya Vodacom Tanzania,kushoto ni Meneja Masoko wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania,(TFF)Peter Simon. Vijana...

 

10 years ago

GPL

MECHI ZA LEO LIGI KUU YA TANZANIA BARA SEPTEMBA 27, 2014

Simba v Polisi Moro - Taifa Mtibwa v Ndanda - Manungu Azam v Ruvu - Chamanzi Mbeya v Coastal - Sokoine Mgambo v Stand - Mkwakwani

 

10 years ago

GPL

YANGA BINGWA LIGI KUU YA VODACOM 2014/2015

Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dhidi ya Polisi Moro kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Wachezaji wa timu ya Yanga. YANGA SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kuifunga Polisi Morogoro mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani