Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANAYOJIRI NYUMBANI

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Yanayojiri bungeni hayavumiliki

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kinachoendelea kufanyika sasa bungeni Dodoma ni ukatili, unyanyasaji, wizi na ulafi wa fedha za watanzania. Pia, alisema Katiba mpya...

 

11 years ago

GPL

YANAYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA

April 15, 2014, Muungano bado kasheshe
Kikao cha Bunge maalum la katiba kinaendelea leo hii, kinachojadiliwa hasa ni sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba. Kama ilivyo kawaida, wajumbe wanaendelea kulumbana, Chama Cha Mapinduzi wakikazania Muundo wa serikali mbili na wale wa upinzani wakitetea serikali tatu, kama ilivyowasilishwa na Tume Maalum ya kukusanya maoni iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Wajumbe wa Bunge hilo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa CUF aeleza yanayojiri bungeni

Macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Dodoma, wanasikiliza Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanavyowawakilisha.

 

10 years ago

Vijimambo

TUMAINI MAKENE: YANAYOJIRI NJOMBE - BVR

PRESS BRIEFING;CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO -CHADEMA


YANAYOJIRI NJOMBE - BVR


1. Ikiwa zoezi la uandikishaji limeanza leo tarehe 23 Feb na likitarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho tarehe 24 Feb na Waziri Mkuu Pinda, Naibu Katibu wa CHADEMA upande wa Tanganyika ameanza Operesheni R2R BVR ambapo asubuhi mpaka mchana alikuwa katika Mji wa Makambako akipitia mitaani pamoja na msafara wa viongozi wa chama hicho ngazi mbalimbali kuhamasisha wananchi kujiandikisha.
Aidha, Operesheni hiyo imehusisha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ban Ki-Moon alaani yanayojiri S.kusini

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban Ki Moon amelaani kufukuzwa kwa mratibu wa misaada ya kibinaadam Sudani kusini

 

11 years ago

BBCSwahili

Yanayojiri kwenye misa ya wafu ya Mandela

Haya ni matokeo kama yanavyojiri nchini Afrika Kusini misa ya wafu ya Mandela ikiendelea

 

10 years ago

Michuzi

Msama afafanua yanayojiri Kituo cha Honoratha


Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu taarifa za upotoshwaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusiana na Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Honoratha kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu taarifa za upotoshwaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwalimu Kambarage, unajua yanayojiri huku baba? — 2

Mwalimu, baba yetu, leo naendelea kukujuza yale yanayoendelea huku kwetu mkuu. Bahati nzuri ni kuwa sikupokea ujumbe unaosomeka “Mabwepande”, “tindikali” “kucha” au “meno”….hivyo naongea nawe nikiwa na afya tele.

 

11 years ago

GPL

YANAYOJIRI KIGOMA KATIKA MAZISHI YA MAMA YAKE ZITTO

Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa. Mwili wa marehemu Shida Salum ukiombewa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani