YANAYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA
April 15, 2014, Muungano bado kasheshe Kikao cha Bunge maalum la katiba kinaendelea leo hii, kinachojadiliwa hasa ni sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba. Kama ilivyo kawaida, wajumbe wanaendelea kulumbana, Chama Cha Mapinduzi wakikazania Muundo wa serikali mbili na wale wa upinzani wakitetea serikali tatu, kama ilivyowasilishwa na Tume Maalum ya kukusanya maoni iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Wajumbe wa Bunge hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Mbowe: Yanayojiri bungeni hayavumiliki
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kinachoendelea kufanyika sasa bungeni Dodoma ni ukatili, unyanyasaji, wizi na ulafi wa fedha za watanzania. Pia, alisema Katiba mpya...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Mbunge wa CUF aeleza yanayojiri bungeni
11 years ago
MichuziBUNGENI DODOMA LEO
10 years ago
MichuziMATUKIO BUNGENI LEO DODOMA.
11 years ago
MichuziKUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya...
10 years ago
Vijimambo24 Jun
YALIYIJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya na Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum, Anna...
5 years ago
Global Publishers21 Feb
Matukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo
10 years ago
MichuziTASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na sehemu ya viongozi wa jamii ya wafugaji kutoka katika baadhi ya mikoa hapa nchini waliotembelea bungeni leo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii Kanda ya Kati.
Katibu wa Bunge,Dkt. Thomas Kashilila (katikati) akiteta jambo na Mchungaji Luckson Mwanjale (kushoto) na Mh. Godfrey Zambi katika Viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Afrika Mashariki,Mh. Samuel Sitta (katikati) akisalimiana na Baadhi...
11 years ago
Michuzi10 Mar
taswira Kutoka bungeni dodoma leo