Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge wa CUF aeleza yanayojiri bungeni

Macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Dodoma, wanasikiliza Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanavyowawakilisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHADEMA AELEZA SABABU ZA KUREJEA BUNGENI

Na Magreth Kinabo, MAELEZO Dodoma  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Said Arfi (pichani) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)amezitaja sababu za kurejea katika bunge hilo, kuwa ni hofu ya Mwenyezi Mungu.  Aidha Mhe Arfi ameitaja sababu nyingine ni kwamba amerudi katikaBunge hilo, ili kuhakikisha kwamba anaisadia nchi kupita katika mchakato wa Katiba mpya kwa amani na utulivu kwa kutumia kipaji chake na kuwatumikia...

 

11 years ago

GPL

YANAYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA

April 15, 2014, Muungano bado kasheshe
Kikao cha Bunge maalum la katiba kinaendelea leo hii, kinachojadiliwa hasa ni sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba. Kama ilivyo kawaida, wajumbe wanaendelea kulumbana, Chama Cha Mapinduzi wakikazania Muundo wa serikali mbili na wale wa upinzani wakitetea serikali tatu, kama ilivyowasilishwa na Tume Maalum ya kukusanya maoni iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Wajumbe wa Bunge hilo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Yanayojiri bungeni hayavumiliki

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kinachoendelea kufanyika sasa bungeni Dodoma ni ukatili, unyanyasaji, wizi na ulafi wa fedha za watanzania. Pia, alisema Katiba mpya...

 

10 years ago

Habarileo

Siro aeleza sababu CUF kuzuiwa maandamano

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu.MKUU wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa walikataza maandamano ya CUF kwasababu kulikuwa na taarifa za vitendo vya ugaidi ambavyo vingeweza kuwadhuru.

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge wa Tunduru aeleza machungu ya wajawazito

Mbunge wa Tunduru Kusini, Mtutura MtuturaMBUNGE wa Tunduru Kusini, Mtutura Mtutura ametoa ushuhuda namna mkewe alivyopoteza maisha wakati wa kujifungua huku akihoji sababu za kutofanyika uchunguzi kwa vifo vya wajawazito, kubaini wanaosababisha kama ambavyo imekuwa ikifanyika zinapotokea ajali barabarani.

 

10 years ago

Bongo5

Afande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni

Afande Sele amesema akiingia bungeni hawezi kuwasahau wasanii wenzake kama walivyosahauliwa na wasanii wabunge waliotangulia kuingia mjengoni. Rapper atawania kiti cha ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi cha ya chama cha ACT na ameiambia Bongo5 kuwa akiingia bungeni wasanii watarajie mambo makubwa kutoka kwake. “Lengo langu kubwa kwa wasanii ni kupigania haki za […]

 

10 years ago

Mtanzania

CUF wamkimbiza mbunge wa CCM

kwwNa Ally Badi, Lindi
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zainab Kawawa, juzi alifukuzwa na vijana wa Kijiji cha Makinda waliokuwa na mawe na magongo wakati akijiandaa kufanya mkutano wa hadhara.

Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Makinda kilichopo Kata ya Kipule Wilaya ya Liwale, Salum Salum Kachwele, amelithibitishia MTANZANIA Jumamosi kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa Mbunge Kawawa alikutana na zahama hiyo wakati akijiandaa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge azomewa bungeni

MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Dk. Godluck Ole Medeye (CCM), amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na baadhi ya wabunge wenzake kutokana na kushindwa kuuliza swali la nyongeza. Hali hiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbunge CCM Lindi ahamia CUF

Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Lindi, Riziki Rurida amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani