Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE WA CHADEMA AELEZA SABABU ZA KUREJEA BUNGENI

Na Magreth Kinabo, MAELEZO Dodoma  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Said Arfi (pichani) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)amezitaja sababu za kurejea katika bunge hilo, kuwa ni hofu ya Mwenyezi Mungu.  Aidha Mhe Arfi ameitaja sababu nyingine ni kwamba amerudi katikaBunge hilo, ili kuhakikisha kwamba anaisadia nchi kupita katika mchakato wa Katiba mpya kwa amani na utulivu kwa kutumia kipaji chake na kuwatumikia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbunge wa CUF aeleza yanayojiri bungeni

Macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Dodoma, wanasikiliza Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanavyowawakilisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge Chadema atinga bungeni

Mjumbe mwingine wa Bunge la Katiba kutoka Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) jana alionekana kwenye Viwanja vya Bunge na alisaini za mahudhurio.

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE CHADEMA AMWAGA CHOZI BUNGENI NAKUOMBA HIFDHI CCM

Leo Mei 18 Mbunge wa Kilombelo, Pater Lijualikali amemwaga machozi ndani ya Bunge kutokana na mgogoro unaoendelea ndani na Chama cha CHADEMA ambapo ameomba Chama cha Mapinduzi CCM kama kitaridhia kimpokee 

 

11 years ago

Habarileo

Wanavyuo wawasihi Ukawa kurejea bungeni

Freeman MboweWANAFUNZI kutoka vyuo 10 vya elimu ya juu nchini, wamewasihi wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na majadiliano.

 

11 years ago

Habarileo

Taasisi ya Kiislamu yawasihi Ukawa kurejea bungeni

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wametakiwa kurejea bungeni, kwani huko ndiko mahali sahihi pa kujenga hoja za kuboresha Katiba mpya, inayosubiriwa na Watanzania wote.

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Bunge la Katiba waaswa kurejea Bungeni

Na Rose Masaka-MAELEZOViongozi wa vyama vya siasa waliopo nje ya Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kurejea bungeni ili kufanya maridhiano ndani ya bunge hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Jaji Werema amesema kuwa wajumbe walio nje ya Bunge Maalum hawana budi kurejea bungeni na kuacha kumshinikiza Rais kulivunja bunge hilo kwani hana mamlaka ya kulivunja kulingana na sheria...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KUCHUKUA FOMU, DK SHEIN AELEZEA SABABU ZA KUTAKA KUREJEA MADARAKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja jana baada ya  kuchukua fomu za kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

IBADA MAALUM: Maaskofu wawataka Ukawa kurejea bungeni

>Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limewataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurudi bungeni bila masharti na kuendelea na mjadala wa Katiba kwa manufaa ya taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Nchimbi aeleza sababu za kuwajibika

>Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi amesema yeye pamoja na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari waliokuwa wakitekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani