Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Chadema atinga bungeni

Mjumbe mwingine wa Bunge la Katiba kutoka Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) jana alionekana kwenye Viwanja vya Bunge na alisaini za mahudhurio.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO, MBUNGE ATINGA NA BANGO KUWANIA NAFASI, AAMRIWA ASAULE

 Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo Juni 11, 2014.  Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola akivua bango alilokuwa ameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHADEMA AELEZA SABABU ZA KUREJEA BUNGENI

Na Magreth Kinabo, MAELEZO Dodoma  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Said Arfi (pichani) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)amezitaja sababu za kurejea katika bunge hilo, kuwa ni hofu ya Mwenyezi Mungu.  Aidha Mhe Arfi ameitaja sababu nyingine ni kwamba amerudi katikaBunge hilo, ili kuhakikisha kwamba anaisadia nchi kupita katika mchakato wa Katiba mpya kwa amani na utulivu kwa kutumia kipaji chake na kuwatumikia...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE CHADEMA AMWAGA CHOZI BUNGENI NAKUOMBA HIFDHI CCM

Leo Mei 18 Mbunge wa Kilombelo, Pater Lijualikali amemwaga machozi ndani ya Bunge kutokana na mgogoro unaoendelea ndani na Chama cha CHADEMA ambapo ameomba Chama cha Mapinduzi CCM kama kitaridhia kimpokee 

 

11 years ago

Habarileo

Arfi atinga bungeni

WAKATI Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema kuwa anaamini idadi ya wajumbe wa bunge hilo wanaorejea bungeni baada ya kususa vikao itazidi kuongezeka, Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi (Chadema) ametinga bungeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Lugola atinga bungeni begi la bidhaa za nje

Mjadala wa Bajeti ya Serikali, ambao umetawaliwa na suala la kushuka kwa thamani ya shilingi, jana ulichukua sura ya pekee baada ya mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola kuingia na begi lililojaa bidhaa mbalimbali kutoka nje ambazo alizitumia kuthibitisha matumizi yasiyostahili ya fedha za kigeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto atinga bungeni, aomba ushauri kwa spika

Dodoma. Siku tisa baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kumvua uanachama, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana alitinga bungeni na kufanya kikao cha siri na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa zaidi ya saa moja.

 

9 years ago

Global Publishers

Mbunge wa Kinondoni Atinga Kortini Kupinga Bomoabomoa Jimboni Kwake

mtuliaMbunge wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia. Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia amewasilisha mahakamani shauri la kupinga zoezi la ‘bomoabomoa’ linaloendelea jijini Dar es Salaam. Shauri hilo lenye uwakilishi wa wananchi nane linasikilizwa leo (Januari 4) katika mahakama Kuu kitengo cha Ardhi. BOMOA (11) Kwa mujibu wa Mtulia, Shauri hilo lilifunguliwa mahakamani hapo Desemba 22 na kupata faili rasmi Desemba 28 mwaka jana. Katika shauri hilo, walalamikaji wanaiomba mahakama kuamuru...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge azomewa bungeni

MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Dk. Godluck Ole Medeye (CCM), amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na baadhi ya wabunge wenzake kutokana na kushindwa kuuliza swali la nyongeza. Hali hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani