Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto atinga bungeni, aomba ushauri kwa spika

Dodoma. Siku tisa baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kumvua uanachama, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana alitinga bungeni na kufanya kikao cha siri na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa zaidi ya saa moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali ilipuuza ushauri wa Spika

>Kasoro zilizomo katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya 2011, zimechangiwa na Serikali kupuuza mapendekezo yaliyotolewa na Ofisi ya Spika wa Bunge, Anne Makinda wakati wa mchakato wa marekebisho ya sheria hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Arfi atinga bungeni

WAKATI Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema kuwa anaamini idadi ya wajumbe wa bunge hilo wanaorejea bungeni baada ya kususa vikao itazidi kuongezeka, Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi (Chadema) ametinga bungeni.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge Chadema atinga bungeni

Mjumbe mwingine wa Bunge la Katiba kutoka Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) jana alionekana kwenye Viwanja vya Bunge na alisaini za mahudhurio.

 

10 years ago

Mwananchi

Lugola atinga bungeni begi la bidhaa za nje

Mjadala wa Bajeti ya Serikali, ambao umetawaliwa na suala la kushuka kwa thamani ya shilingi, jana ulichukua sura ya pekee baada ya mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola kuingia na begi lililojaa bidhaa mbalimbali kutoka nje ambazo alizitumia kuthibitisha matumizi yasiyostahili ya fedha za kigeni.

 

10 years ago

Habarileo

Spika akemea utoro bungeni

Spika wa Bunge, Anna Makinda.SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Anne Makinda amesikitishwa na wimbi la wabunge kutofika kwenye vikao vya mjadala wa bajeti ya serikali mwaka 2015/16.

 

10 years ago

Mtanzania

Spika amzuia Zitto kuachia ubunge

Na Fredy Azzah, Dodoma
AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, amemzuia kufanya hivyo, imefahamika.
Zitto ambaye alikuwa ameshafanya maandalizi ya kuaga jana ndani ya Bunge, alijikuta akigonga mwamba dakika za mwisho baada ya kuingia bungeni na kuelezwa na mmoja wa maofisa wa Bunge kuwa suala lake la kutoa hotuba limeahirishwa na Spika Makinda akitakiwa kwanza kuifanyia...

 

10 years ago

Vijimambo

Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.

Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa.

Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...

 

10 years ago

Habarileo

Tume yasubiri barua ya Spika kuhusu Zitto

Ruth MashamTUME ya Uchaguzi imesema hata ikipokea barua kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka watakapopokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani