Spika amzuia Zitto kuachia ubunge
Na Fredy Azzah, Dodoma
AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, amemzuia kufanya hivyo, imefahamika.
Zitto ambaye alikuwa ameshafanya maandalizi ya kuaga jana ndani ya Bunge, alijikuta akigonga mwamba dakika za mwisho baada ya kuingia bungeni na kuelezwa na mmoja wa maofisa wa Bunge kuwa suala lake la kutoa hotuba limeahirishwa na Spika Makinda akitakiwa kwanza kuifanyia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo18 Mar
Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Makinda-18March2015.jpg)
Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Tume yasubiri barua ya Spika kuhusu Zitto
TUME ya Uchaguzi imesema hata ikipokea barua kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka watakapopokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge.
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Zitto atinga bungeni, aomba ushauri kwa spika
10 years ago
Vijimambo19 Mar
Siku nane zamsubiri Zitto ACT, Aitwa kuteta na Spika, Mwenyewe ataka subira.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-19March2015.jpg)
Taarifa ambazo zimesambaa bungeni zinaeleza kuwa, jana Zitto alipanga kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kikao cha Bunge kuahirishwa mchana, lakini alishindwa kufanya hivyo baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kumwita kwa ajili ya mazungumzo.
Zitto ambaye hata hivyo, amekuwa...
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Ubunge wa Zitto waning’inia
10 years ago
Habarileo20 Mar
Zitto kuutema rasmi ubunge
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto anatarajia kuaga wabunge wenzake na kubainisha mbele ya Bunge hilo, kuwa anaachia rasmi madaraka yake ya ubunge baada ya kuhitilafiana na Chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
10 years ago
Habarileo11 Mar
Ubunge wa Zitto sasa njia panda
HATIMA ya ubunge wa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), sasa iko njia panda.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-38Wf9D7EUIQ/VQxqsAjCvBI/AAAAAAAHLu4/LAhls1ZrMH4/s72-c/image.jpg)
9 years ago
Habarileo17 Aug
Zitto aongoza wagombea ubunge ACT-Wazalendo
CHAMA cha ACT Maendeleo kimetoa rasmi majina ya wagombea wake watakaokiwakilisha chama hicho, katika nafasi za ubunge na uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, huku Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto akiwania ubunge jimbo la Kigoma mjini.