Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.
Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa.
Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Mar
Tume yasubiri barua ya Spika kuhusu Zitto
TUME ya Uchaguzi imesema hata ikipokea barua kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka watakapopokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge.
10 years ago
Michuzi10 years ago
Mtanzania20 Mar
Spika amzuia Zitto kuachia ubunge
Na Fredy Azzah, Dodoma
AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, amemzuia kufanya hivyo, imefahamika.
Zitto ambaye alikuwa ameshafanya maandalizi ya kuaga jana ndani ya Bunge, alijikuta akigonga mwamba dakika za mwisho baada ya kuingia bungeni na kuelezwa na mmoja wa maofisa wa Bunge kuwa suala lake la kutoa hotuba limeahirishwa na Spika Makinda akitakiwa kwanza kuifanyia...
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
Habarileo27 Jun
Kafulila amwandikia barua Spika
MBUNGE wa Kigoma Kusini (NCCRMageuzi), David Kafulila, amemwandikia barua Spika wa Bunge, Anne Makinda kumuomba aitake Serikali kuwasilisha hoja juu ya sakata la mabehewa feki ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) ili ijadiliwe na wabunge.
10 years ago
Mtanzania24 Jan
Spika awaandikia barua Chenge, Ngeleja
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda
NA AGATHA CHARLES
KUTOKANA na kile kilichoonekana kama kugoma kufanya uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge ambazo wenyeviti wao wamehusishwa na fedha za Escrow kwa kutaka kwanza mwongozo wa Spika, Kamati hizo zimeagizwa kufanya uchaguzi huo kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge Jumanne wiki ijayo.
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilillah, alisema tayari hadi jana Spika wa...
5 years ago
CCM BlogRAIS TRUMP ALIMWA BARUA NA SPIKA WA BUNGE
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa tarehe 4 Juni, Spika Pelosi amesema kuwa wameshuhudia wanajeshi kwenye ngazi za Lincoln Memorial na sehemu nyingine za jiji la Washington, yalipo makao makuu ya taifa hilo.
==>>Tafsiri ya barua ya Spika Nancy Pelosi kwa Donald...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB20 Mar
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Zitto atinga bungeni, aomba ushauri kwa spika