Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tume yasubiri barua ya Spika kuhusu Zitto

Ruth MashamTUME ya Uchaguzi imesema hata ikipokea barua kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka watakapopokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.

Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa.

Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...

 

10 years ago

Habarileo

Kafulila amwandikia barua Spika

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR - Mageuzi).MBUNGE wa Kigoma Kusini (NCCRMageuzi), David Kafulila, amemwandikia barua Spika wa Bunge, Anne Makinda kumuomba aitake Serikali kuwasilisha hoja juu ya sakata la mabehewa feki ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) ili ijadiliwe na wabunge.

 

10 years ago

Mtanzania

Spika awaandikia barua Chenge, Ngeleja

Anne Makinda

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda

NA AGATHA CHARLES
KUTOKANA na kile kilichoonekana kama kugoma kufanya uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge ambazo wenyeviti wao wamehusishwa na fedha za Escrow kwa kutaka kwanza mwongozo wa Spika, Kamati hizo zimeagizwa kufanya uchaguzi huo kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge Jumanne wiki ijayo.
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilillah, alisema tayari hadi jana Spika wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS TRUMP ALIMWA BARUA NA SPIKA WA BUNGE

  Spika wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito  Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo kuhusu ongezeko kubwa la matumizi ya majeshi dhidi ya raia wanaoandamana kwa uhuru ndani ya nchi hiyo.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa tarehe 4 Juni, Spika Pelosi amesema kuwa wameshuhudia wanajeshi kwenye ngazi za Lincoln Memorial na sehemu nyingine za jiji la Washington, yalipo makao makuu ya taifa hilo.
==>>Tafsiri ya barua ya Spika Nancy Pelosi kwa Donald...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

9 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAWASILISHA BARUA YA MALALAMIKO TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI



Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akikabidhi barua ya malalamiko leo kuhusu matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa  na NEC kwa  Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam. Katikati ni Wakili wa Chadema, John Mallya. (Picha na Francis Dande) Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipowasili kukabidhi barua ya malalamiko kuhusu matokeo ya uchaguzi.

 

10 years ago

Mtanzania

Spika amzuia Zitto kuachia ubunge

Na Fredy Azzah, Dodoma
AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, amemzuia kufanya hivyo, imefahamika.
Zitto ambaye alikuwa ameshafanya maandalizi ya kuaga jana ndani ya Bunge, alijikuta akigonga mwamba dakika za mwisho baada ya kuingia bungeni na kuelezwa na mmoja wa maofisa wa Bunge kuwa suala lake la kutoa hotuba limeahirishwa na Spika Makinda akitakiwa kwanza kuifanyia...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto atinga bungeni, aomba ushauri kwa spika

Dodoma. Siku tisa baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kumvua uanachama, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana alitinga bungeni na kufanya kikao cha siri na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa zaidi ya saa moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani