Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila amwandikia barua Spika

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR - Mageuzi).MBUNGE wa Kigoma Kusini (NCCRMageuzi), David Kafulila, amemwandikia barua Spika wa Bunge, Anne Makinda kumuomba aitake Serikali kuwasilisha hoja juu ya sakata la mabehewa feki ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) ili ijadiliwe na wabunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Manji amwandikia barua Magufuli

Mwenyekiti wa kampuni ya Quality Group, Yusuf Manji amemwandikia barua Rais John Magufuli kumuelezea mchakato wa zabuni aliyoshinda kuendeleza ufukwe wa Coco maarufu kama Coco Beach uliopo Kinondoni.

 

11 years ago

GPL

Manji amwandikia barua Aveva

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji. Na Saleh Ally
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, ameandika barua kwenda katika makao makuu ya Simba na juu ya bahasha kuna jina la Evans Aveva. Barua hiyo ya Manji kwa Aveva imetua klabuni hapo na kupokewa na imeelezwa ina ujumbe mzito ambao umeweka historia katika soka nchini katika kipindi hiki.…

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif amwandikia barua Rais Kikwete

Mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemwandikia barua Rais Jakaya Kikwete kumwomba wakutane ili kuzungumzia hali ya kisiasa ya Zanzibar, baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015 kufutwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Spika awaandikia barua Chenge, Ngeleja

Anne Makinda

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda

NA AGATHA CHARLES
KUTOKANA na kile kilichoonekana kama kugoma kufanya uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge ambazo wenyeviti wao wamehusishwa na fedha za Escrow kwa kutaka kwanza mwongozo wa Spika, Kamati hizo zimeagizwa kufanya uchaguzi huo kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge Jumanne wiki ijayo.
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilillah, alisema tayari hadi jana Spika wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS TRUMP ALIMWA BARUA NA SPIKA WA BUNGE

  Spika wa Bunge la Marekani maarufu kama ‘Congress’, Nancy Pelosi amemlima barua nzito  Rais Donald Trump kwa kutaka atoe maelezo kuhusu ongezeko kubwa la matumizi ya majeshi dhidi ya raia wanaoandamana kwa uhuru ndani ya nchi hiyo.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa tarehe 4 Juni, Spika Pelosi amesema kuwa wameshuhudia wanajeshi kwenye ngazi za Lincoln Memorial na sehemu nyingine za jiji la Washington, yalipo makao makuu ya taifa hilo.
==>>Tafsiri ya barua ya Spika Nancy Pelosi kwa Donald...

 

10 years ago

Habarileo

Tume yasubiri barua ya Spika kuhusu Zitto

Ruth MashamTUME ya Uchaguzi imesema hata ikipokea barua kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka watakapopokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge.

 

10 years ago

Vijimambo

Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.

Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa.

Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...

 

10 years ago

GPL

AUNT AMWANDIKIA WARAKA MKE WA MTU

Na IMELDA MTEMA Siku chache baada ya msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kuvamiwa na kundi la watu akiwa nyumbani kwa Wema Sepetu akitaka kuadabishwa kwa madai ya kutembea na mume wa mtu, msanii huyo ameamua kumuandikia waraka mwenye mume. Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akipozi. Aunt alifikia uamuzi wa kuandika waraka huo baada ya siku chache baadaye tena kuandikwa habari juu ya kunaswa jijini Mwanza akiwa na mnenguaji...

 

11 years ago

Michuzi

Spika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) alipofika Ofisini kwake leo kwa ziara ya kikazi. Wengine ni baadhi ya Wabunge kutoka Bunge la Uholanzi alioambatana nao. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo Ofisni kwake na Spika wa Bunge la Uholanzi Mhe. Anouchka Van Miltenburg (mwenye koti jeupe) pamoja na ujumbe wa wabunge wanane kutoka Bunge la uholanzi ambao wapo nchini kwa ziara ya kikazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani