Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif amwandikia barua Rais Kikwete

Mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemwandikia barua Rais Jakaya Kikwete kumwomba wakutane ili kuzungumzia hali ya kisiasa ya Zanzibar, baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015 kufutwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD

 Rais Jakaya Kikwete ateta na makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Shariff Seif Hamad kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini dar es SalaamWakiwa katika picha ya pamoja.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. (Picha na Freddy Maro /… ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Maalim Seif Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

 

11 years ago

GPL

Manji amwandikia barua Aveva

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji. Na Saleh Ally
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, ameandika barua kwenda katika makao makuu ya Simba na juu ya bahasha kuna jina la Evans Aveva. Barua hiyo ya Manji kwa Aveva imetua klabuni hapo na kupokewa na imeelezwa ina ujumbe mzito ambao umeweka historia katika soka nchini katika kipindi hiki.…

 

10 years ago

Habarileo

Kafulila amwandikia barua Spika

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR - Mageuzi).MBUNGE wa Kigoma Kusini (NCCRMageuzi), David Kafulila, amemwandikia barua Spika wa Bunge, Anne Makinda kumuomba aitake Serikali kuwasilisha hoja juu ya sakata la mabehewa feki ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) ili ijadiliwe na wabunge.

 

9 years ago

Mwananchi

Manji amwandikia barua Magufuli

Mwenyekiti wa kampuni ya Quality Group, Yusuf Manji amemwandikia barua Rais John Magufuli kumuelezea mchakato wa zabuni aliyoshinda kuendeleza ufukwe wa Coco maarufu kama Coco Beach uliopo Kinondoni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amezungumza na makamu wa rais wa Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya CUF, Maalim Seif

 

9 years ago

GPL

KIKWETE, BILAL, MAALIM SEIF WAMUAGA MTIKILA

Picha ya Mch. Mtikila enzi za uhai wake. Jeneza la mwili wa Mchungaji Mtikila likishushwa viwanja vya Karimjee kwa kuagwa. Mwili ukiwa katika jeneza tayari kwa kuagwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani