Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD

 Rais Jakaya Kikwete ateta na makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Shariff Seif Hamad kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini dar es SalaamWakiwa katika picha ya pamoja.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Shariff Hamad atembelea soko la matunda Mombasa.

Na Hassan Hamad wa OMKR. Baraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapungua.  Wito huo umetolewa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipofanya ziara ya kutembelea baadhi ya majaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi, soko la matunda Mombasa, pamoja na kutembelea shimo la kutupia taka lililoko Kibele, kujionea hali halisi ya ukusanyaji na utupaji wa taka...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASIASA MKONGWE MAALIM SEIF SHARIF HAMAD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt....

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. (Picha na Freddy Maro /… ...

 

9 years ago

Michuzi

Maalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro Kisiwani Pemba.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mgombea uwakilishi wa CUF Jimbo la Ole baada ya kutambulishwa kwa wagombea rasmi wa Ubunge na Uwakilishi.Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akizungumza na viongozi pamoja na wagombea wa chama hicho katika ukumbi wa skuli ya Fidel Castro...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Maalim Seif Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad, akutana na balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap Frederiks


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania  Jaap Frederiks alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo. Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania  Jaap Frederiks akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unafahamu Maalim Seif Shariff ni shabiki ?

Zuhura Yunus alimtupia swali Maalim Seif Shariff , mgombea urais wa chama cha upinzani cha CUF kisiwani Zanzibar akitaka kujua anapenda nini mbali na siasa?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani