Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barua yangu ya kujiuzulu ubunge

image


Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWINYI ALIVYOANDIKA BARUA KWA NYERERE YA KUJIUZULU UWAZIRI

Ali Hassan Mwinyi. Wakati Taifa likipita katika kipindi kigumu cha kupima uadilifu wa viongozi, safu hii imefanikiwa kupata barua ya kujiuzulu ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Ali Hassan Mwinyi, ikithibitisha jinsi kiongozi huyo alivyo juu kwa viwango vya utiifu na uadilifu. Katika barua hiyo, inaonyesha jinsi Mwinyi alivyojiuzulu kwa unyenyekevu Januari 22, 1977 wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Ndani.Kiongozi huyo ambaye...

 

11 years ago

Michuzi

KUVAMIWA KWA AKAUNTI YANGU BINAFSI YA BARUA PEPE - SULEIMAN SALEH

             


              Leo hii Ijumaa Juni 20, 2014, kuanzia saa 5 mchana kwa saa za Marekani na saa 12 jioni kwa saa za Tanzania nimegundua kwamba akaunti yangu binafsi ya barua pepe kidundo2001@yahoo.comimevamiwa na wahalifu.  Nimechukuwa hatua stahili na za haraka katika kushughulikia tatizo hili. Naomba kuwashukuru wote walionitanabahisha kwa kufahamu kwamba niko Washington DC, Marekani,  na wakashangazwa kupokea barua pepe nyingi ambazo zimedai kwamba niko Nassau, Bahamas, Manila...

 

10 years ago

Vijimambo

Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.

Wakati Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema hawezi kumtangaza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kuwa siyo mbunge hadi atakapopata barua ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema bado hawajaandika barua kuiarifu Nec, kwa kuwa hilo siyo jambo kubwa ambalo chama kinapaswa kuhangaika nalo kwa sasa.

Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...

 

9 years ago

Mwananchi

Kigoda: Sigombei ubunge kumrithi baba yangu

Mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni kupitia CCM, Omari Kigoda amesema hagombei nafasi hiyo kutaka kuziba pengo lililoachwa na b

 

9 years ago

Dewji Blog

Jimbo la Iringa mjini lilikosa mbunge makini sasa ni zamu yangu ubunge -Mwakalebela

Mgombea ubunge jimbo la  Iringa mjini Frederick Mwakalebela  akiomba kura kwa  wananchi wa kata ya Mshindo jana wakati wa mkutano wake wa kampeni. Wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni jana. Aliyekuwa mgombea ubunge katika mchakato wa ndani ya chama Michael Mlowe  akimnadi Mwakalebela. Katibu  wa CCM Iringa mjini Bw Elisha Mwampashi  akimnadi  Mwakalebela.

Mwakalebela akiomba kura kwa wananchi wa kata ya Mshindo jana.

Wana CCM na wananchi wa kata ya...

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

12292738_1516860355279681_1179389451_n

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.

FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.

“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.

“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.

“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...

 

10 years ago

GPL

MTANGAZA NIA UBUNGE LUDEWA AANGUKIA PUA NAFASI YA NEC, AAPA KUTOKUGOMBEA UBUNGE

  Mkuu  wa wilaya ya  Ludewa Antonia Choya akimkabidhi Mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe (kushoto)  hati ya  shukrani ya kushiriki mbio  za Mwenge.…

 

9 years ago

Vijimambo

UPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE

Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

Chanzo:...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani