Siku nane zamsubiri Zitto ACT, Aitwa kuteta na Spika, Mwenyewe ataka subira.
Siku chache baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, mbunge huyo amewasili bungeni, huku zikiwapo taarifa kwamba atawaaga wabunge wenzake leo.
Taarifa ambazo zimesambaa bungeni zinaeleza kuwa, jana Zitto alipanga kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kikao cha Bunge kuahirishwa mchana, lakini alishindwa kufanya hivyo baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kumwita kwa ajili ya mazungumzo.
Zitto ambaye hata hivyo, amekuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSIKU ZITTO ALIPOJIUNGA NA CHAMA CHA ACT TAWI LA TAGETA
10 years ago
Habarileo28 Nov
Pinda ataka subira
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema suala la kumtaka ajiuzulu wadhifa wake si jipya, lakini akasema ni vyema kusubiri mjadala wa Bunge wa sakata la Tegeta Escrow ufike mwisho, ndipo hatua stahiki zitajulikana.
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika mkoani Lindi yafikia siku ya sita
Wananchi wote mnakaribishwa kutembela banda la Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake ikiwemo UTT AMIS, Mfuko wa Pensheni PPF, GPSA na UTT PID uwanja wa maonesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa Ngongo mkoani Lindi.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega akipokea fomu ya kujiunga na Mfumo wa Amana inayotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo Nelusigwe Mwalugaja wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Wa...
11 years ago
MichuziMEGATRADE YAWAWEZESHA MOSHI VETERANI KWENDA KUKIPIGA TABORA SIKU KUUU YA NANE NANE.
Rutaraka,akikabidhi...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/BbsNAGnbgqY/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
HUKUMU YA ZITTO KABWE KESHO SAA NANE
10 years ago
Michuzi02 Oct
Taarifa Kwa Umma Kutoka Cham Cha ACT-TANZANIA Kuhusu Zitto Kabwe na Chama Cha ACT- Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-PQ3cCBhtNUE/VCwNv30XPoI/AAAAAAADEsg/fLSGWFewAGQ/s1600/01.aa4.jpg)
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha watanzania wote kisichokuwa na mmilki wake na tunaunganishwa na misingi kumi ya chama pamoja na Itikadi yetu ya Demokrasia...
10 years ago
Mtanzania20 Mar
Spika amzuia Zitto kuachia ubunge
Na Fredy Azzah, Dodoma
AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, amemzuia kufanya hivyo, imefahamika.
Zitto ambaye alikuwa ameshafanya maandalizi ya kuaga jana ndani ya Bunge, alijikuta akigonga mwamba dakika za mwisho baada ya kuingia bungeni na kuelezwa na mmoja wa maofisa wa Bunge kuwa suala lake la kutoa hotuba limeahirishwa na Spika Makinda akitakiwa kwanza kuifanyia...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Tume yasubiri barua ya Spika kuhusu Zitto
TUME ya Uchaguzi imesema hata ikipokea barua kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka watakapopokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge.