Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEGATRADE YAWAWEZESHA MOSHI VETERANI KWENDA KUKIPIGA TABORA SIKU KUUU YA NANE NANE.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investiment Ltd Kanda ya Kaskazini, Edmund Rutaraka,akikabidhi hundi ya kiasi cha shilingini milioni moja kwa mwenyekiti wa klabu ya Moshi veterani ya mkoani Kilimanjaro Tumaini Mungete .wengine ni baadhi ya viongozi wa klabu ya Moshi Veterani,Wilson Stephen na Aggrey Makia(upande wa kulia) upande wa kushoto ni wafanyakazi wa Megatrade mkoani Kilimanjaro.Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investiment Ltd ,Kanda ya Kaskazini, Edmund
Rutaraka,akikabidhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika mkoani Lindi yafikia siku ya sita

01.

Wananchi wote mnakaribishwa kutembela banda la Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake ikiwemo UTT AMIS, Mfuko wa Pensheni PPF, GPSA na UTT PID uwanja wa maonesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa Ngongo mkoani Lindi.

04

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega akipokea fomu ya kujiunga na Mfumo wa Amana inayotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo Nelusigwe Mwalugaja wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGA MAONYESHO YA NANE NANE JIJINI MBEYA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015b .Picha Jamiimojablog.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenaneb Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza...

 

11 years ago

Michuzi

SALAM ZA NANE NANE KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band yenye makao yake kule Ujerumani,inatoa salam maalumu za sikuu ya nane nane kwa wadau wote walio nyumbani Tanzania na nje. Sikuu kuu ya nane nane ambayo mwaka huu 2014 inafanyika kitaifa mkoani Lindi. Kikosi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinawatakia kila la heri na baraka katika Nane Nane oyeeee!!!! Usikose kupata burudani at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAIBUKA KIDEDEA MAONYESHO YA NANE NANE MWAKA HUU

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa NMB Bi Ineke Bussemaker kikombe cha mshindi wa pili kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nane nane Kitaifa 2015 katika viwanja vya Ngongo Lindi.

 Wafanyakazi wetu wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za kibenki zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Morogoro

 Wafanyakazi wa NMB  wakifurahia ushindi baada  ya kuibuka kidedea  katika kundi la taasisi za...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afungua Maonesho ya Nane Nane Mkoani Lindi leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa mwaka huu katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Ngongo yanapofanyika maonesho ya Kilimo ya nane nane kitaifa Mkoani Lindi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

SSRA katika maonesho ya Sherehe ya wakulima (NANE NANE) Mkoani Morogoro

Afisa uhusiano mwandamizi Bw. Fulgence Sebera akitoa maelezo ya shughuli za Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Majid Mwanga (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi wengine wa TASO walipotembelea banda la SSRA katika sherehe za maonesho ya wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Morogoro.Mch. Vernon Fernandes (aliyekaa) alipotembelea banda la SSRA katika maonesho ya Nanenane Morogoro,...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WAIBUKA WASHINDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akipokea Kikombe cha Ushindi wa Kwanza kundi la Mifuko ya Jamii Toka kwa Rais Jakaya Kikwete,kushoto na Kulia kwa Rais wakishuhudia tukio hilo Ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Stephen Wassira katika Ufungaji wa Maonesho hayo katika Viwanja Vya Ngongo LindiMeneja wa Mfuko wa NHIF Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya(Alieshika kikombe)Kwa Pomoja na Mkurugenzi wa Masoko ,Rehani Athumani (kulia) na Grace Kisinga...

 

10 years ago

GPL

UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE - LINDI‏

Maafisa Masoko wa UTT-PID, Bi Kilave Atenaka (katikati) na  Bi. Mary Minja (kwanza kulia) wakiongea na mteja aliyefika banda lao lililo chini ya wizara ya Fedha katika Maonyesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani