NHIF WAIBUKA WASHINDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akipokea Kikombe cha Ushindi wa Kwanza kundi la Mifuko ya Jamii Toka kwa Rais Jakaya Kikwete,kushoto na Kulia kwa Rais wakishuhudia tukio hilo Ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Stephen Wassira katika Ufungaji wa Maonesho hayo katika Viwanja Vya Ngongo Lindi
Meneja wa Mfuko wa NHIF Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya(Alieshika kikombe)Kwa Pomoja na Mkurugenzi wa Masoko ,Rehani Athumani (kulia) na Grace Kisinga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufungua Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi Agosti 3, mwaka huu
Lindi kumekucha, pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda. Maonyesho hayo ya mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mratibu wa Maonyesho ya Nane Nane kutoka wilaya ya Newala Ado Kiwangu akiwaonesha na...
10 years ago
Michuzi
TASWIRA MBALI MBALI ZA MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI


11 years ago
MichuziWananchi wamiminika banda la NHIF Nane Nane Lindi
10 years ago
GPL
UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE - LINDI
10 years ago
MichuziUTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE - LINDI
11 years ago
Michuzi.jpeg)
PPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANE NANE LINDI
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
10 years ago
Vijimambo
PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE HUKO LINDI



11 years ago
Michuzi.jpg)
Dkt. Shein afungua Maonesho ya Nane Nane Mkoani Lindi leo
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika mkoani Lindi yafikia siku ya sita
Wananchi wote mnakaribishwa kutembela banda la Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake ikiwemo UTT AMIS, Mfuko wa Pensheni PPF, GPSA na UTT PID uwanja wa maonesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa Ngongo mkoani Lindi.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega akipokea fomu ya kujiunga na Mfumo wa Amana inayotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo Nelusigwe Mwalugaja wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Wa...