Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE - LINDI

 Muonekano wa viwanja vya Mabano vilivyopimwa na Taasisi ya UTT-PID kwa ushirikiano na Halmashauri vilivyopo Manispaa ya Lindi.
Zaidi ya viwanja 2,500 vilipimwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali kama vile Makazi, Biashara, Maeneo ya Umma na sehemu za kupumzika.   Akielezea Afisa Masoko Bi. Kilave Atenaka alisema kuwa kwa sasa wanaendesha huduma ya uuzwaji wa Fomu kwa ajili ya Viwanja, pia wanatarajia kuanza kuuza kwa umaa na taasisi mbali mbali miradi mipya ikiwemo wa Tundwi Songai –...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE - LINDI‏

Maafisa Masoko wa UTT-PID, Bi Kilave Atenaka (katikati) na  Bi. Mary Minja (kwanza kulia) wakiongea na mteja aliyefika banda lao lililo chini ya wizara ya Fedha katika Maonyesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.…

 

11 years ago

Michuzi

PPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANE NANE LINDI


 Mkulima huyu akionyesha furaha wakati akihudumiwa na Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya wakulima 88 mkoni Lindi juzi. Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, (Kulia), wakiwasikiliza wananchi hawa waliotembelea banda la Mfuko huo, kwenye maonyesho ya wakulima 88 mkoani Lindi juzi. Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, (Kushoto), akiwahudumia wananchi waliotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya wakulima Nane Nane, mkoani Lindi juzi....

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya maonesho.

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho ya Nanenane 2014, Lindi.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipokea zawadi baada ya kutembelea mabanda.Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya wadau.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WAIBUKA WASHINDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akipokea Kikombe cha Ushindi wa Kwanza kundi la Mifuko ya Jamii Toka kwa Rais Jakaya Kikwete,kushoto na Kulia kwa Rais wakishuhudia tukio hilo Ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Stephen Wassira katika Ufungaji wa Maonesho hayo katika Viwanja Vya Ngongo LindiMeneja wa Mfuko wa NHIF Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya(Alieshika kikombe)Kwa Pomoja na Mkurugenzi wa Masoko ,Rehani Athumani (kulia) na Grace Kisinga...

 

10 years ago

Vijimambo

PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE HUKO LINDI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane kitaifa kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Bnki kuu ya Tanzania wakatia lipotembelea banda la la Benki hiyo baada ya kufungua maonyesho ya Nanenane kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufungua Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi Agosti 3, mwaka huu

01

Lindi kumekucha, pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu zimepamba moto ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015 anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda. Maonyesho hayo ya mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.

02

03

04

Mratibu wa Maonyesho ya Nane Nane kutoka wilaya ya Newala Ado Kiwangu akiwaonesha na...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALI MBALI ZA MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Lindi na Kilwa Mwal. Mariam R. Mtima (wa kwanza kushoto) akimsikiza Afisa Masoko na Uhusiano wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu (UTTPID) Kilave Atenaka (wa pili kulia) wakati mkuu huyo wa wilaya alipotembelea banda la taasisi hiyo leo katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi. Kauli mbiu ya Manesho ya Nane Nane mwaka huu ni “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.Afisa...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT –PID) ipo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa, Dar es Salaam yananoendelea katika mabanda ya Saba Saba katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Banda la UTT PID lipo jirani na kuingia katika Banda la Wizara ya Fedha upande wa kulia… karibuni sana wananchi mnaombwa kujitokeza kwa wingi mjipatie huduma mbali mbali zinazotolewa na taasisi hiyo ikiwemo huduma za uuzwaji wa viwanja katika...

 

10 years ago

GPL

UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA‏

Afisa Masoko Bi. Kilave Atenaka (Kulia) wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT –PID) akiwasikiliza wateja waliotembelea katika banda kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa, Dar es Salaam yanayoendelea katika mabanda ya Saba Saba katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndani ya banda la Wizara ya Fedha.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani