Ubunge wa Zitto waning’inia
>Kitendo cha kutupiana mpira kati ya Ofisi ya Bunge, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhusu hatima ya Zitto Kabwe, kimeufanya ubunge wa mbunge huyo kuendelea kuning’inia huku mwenyewe akitazamiwa leo kueleza anachoita ‘maamuzi magumu’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziFILIKUNJOMBE; MAFISADI WAMETUMA WATU WANING'OE UBUNGE NAOMBA WANANCHI WANYIMENI KURA
Na Matukiodaima Blog Ludewa WAKATI wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) kesho wanashiriki zoezi la kupiga kura za maoni kuwapata madiwani na wagombea watakao gombea kwa CCM ,mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewashukuru wanachama wa CCM katika jimbo hilo kwa kuonyeha imani kubwa kwake ukilinganisha na wagombea wenzake wawili na...
10 years ago
Habarileo20 Mar
Zitto kuutema rasmi ubunge
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto anatarajia kuaga wabunge wenzake na kubainisha mbele ya Bunge hilo, kuwa anaachia rasmi madaraka yake ya ubunge baada ya kuhitilafiana na Chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
10 years ago
Mtanzania20 Mar
Spika amzuia Zitto kuachia ubunge
Na Fredy Azzah, Dodoma
AZMA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ya kujiuzulu ubunge imegonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, amemzuia kufanya hivyo, imefahamika.
Zitto ambaye alikuwa ameshafanya maandalizi ya kuaga jana ndani ya Bunge, alijikuta akigonga mwamba dakika za mwisho baada ya kuingia bungeni na kuelezwa na mmoja wa maofisa wa Bunge kuwa suala lake la kutoa hotuba limeahirishwa na Spika Makinda akitakiwa kwanza kuifanyia...
10 years ago
Habarileo11 Mar
Ubunge wa Zitto sasa njia panda
HATIMA ya ubunge wa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), sasa iko njia panda.
10 years ago
Michuzi9 years ago
Habarileo17 Aug
Zitto aongoza wagombea ubunge ACT-Wazalendo
CHAMA cha ACT Maendeleo kimetoa rasmi majina ya wagombea wake watakaokiwakilisha chama hicho, katika nafasi za ubunge na uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, huku Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto akiwania ubunge jimbo la Kigoma mjini.
10 years ago
Vijimambo18 Mar
Spika: Sijapokea barua ya kumvua Zitto ubunge.
Spika Makinda aliwaambia waandishi wa habari nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana kuwa ofisi yake haiwezi...
10 years ago
Africanjam.ComZITTO KABWE ACHUKUA RASMI FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE
Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la Kigoma Mjini.
Uamuzi huo wa kulitaka jimbo hilo unathibitisha kauli zake ambazo amekuwa akizitoa kwa muda mrefu kuwa hatarudi tena Kigoma Kaskazini kwa kuwa alishawatimizia kila kitu na haoni sababu za kuwawakilisha tena wananchi wa eneo hilo.
Kauli yake iliibua ubashiri kuwa Zitto...
10 years ago
GPLZITTO KABWE ALIVYOVULIWA UBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI LEO