Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika akemea utoro bungeni

Spika wa Bunge, Anna Makinda.SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Anne Makinda amesikitishwa na wimbi la wabunge kutofika kwenye vikao vya mjadala wa bajeti ya serikali mwaka 2015/16.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC JOKATE AKEMEA VIKALI UTORO,MIMBA ZA UTOTONI NA UBAKAJI KWA WATOTO WADOGO

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akifafanya jambo katika mkutano wa kazi kwa watendaji wa kata, watendaji wa vijiji, pamoja na wenyeviti wa vijiji vipatavyo 84 ambapo walikutana kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo pamoja na changamoto zilizopo.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe Mussa Gama akitoa mada wakati wa mkutano huo ambao aliuandaaa kwa ajili ya kuwakutanisha viongozi na watendaji mbali mbali wa ngazi za vijiji, kata pamoja na tarafa ili kujadili...

 

10 years ago

Mwananchi

Utoro bungeni sasa unakinaisha

Bunge la Jamhuri ya Muungano ni chombo cha uwakilishi wa wananchi katika kufanya uamuzi mbalimbali unaohusu Taifa hili na raia wake. Ni chombo cha uwakilishi ambacho kinatekeleza sehemu ya dhana ya demokrasia ya kushirikisha wananchi katika kuamua mambo yanayowahusu.

 

11 years ago

Habarileo

Makinda akemea 'utajiri' bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda ametaka wanaotarajia kugombea katika uchaguzi mkuu wa 2015 kujiweka sawa kiuchumi badala ya kutegemea kutajirika wakiwa bungeni. Wakati Makinda akitoa ushauri huo kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba, kwa upande wake Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake, Anna Abdalah amesema wanaosema posho ya Sh 300,000 kwa siku haitoshi wana sababu zao.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu akemea unabii wenye nia mbaya bungeni

Askofu wa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas NyaisongaASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas Nyaisonga, ameongoza Ibada ya kuombea Bunge Maalumu la Katiba, ili Mungu awezeshe wajumbe wa Bunge hilo kuwawakilisha Watanzania vyema.

 

10 years ago

BBCSwahili

Naibu spika amwagiwa maji bungeni Kenya

Kikao cha adhuhuri cha wabunge nchini Kenya,kikiendelea kuzua hisia kali huku wabunge wakiendelea kuvurugana humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto atinga bungeni, aomba ushauri kwa spika

Dodoma. Siku tisa baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kumvua uanachama, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana alitinga bungeni na kufanya kikao cha siri na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa zaidi ya saa moja.

 

10 years ago

Vijimambo

Vuta nikuvute Bungeni, Spika Makinda ahairisha bunge

Spika wa Bunge Anna Makinda amelazimika kuahirisha kikao cha Bunge kilichoanza jana, baada ya vuta nikuvute iliyotokea  baada ya kutolewa kwa hoja binafsi kutoka kwa Mbunge na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia kuhusu jeshi la polisi kumshambulia Profesa Ibrahimu Lipumba jana akiwa kwenye maandamano .Akizungumza katika bunge hilo Mbatia amesema kuwa kitendo cha polisi cha kuwapiga raia wasiokuwa na hatia, kuwazalilisha waandishi wa habari na kupiga mabomu ya machozi kiasi cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Vuta nikuvute bungeni, Spika Makinda ahairisha Bunge

Vuta nikuvute bungeni, Spika Makinda ahairisha bunge kwa muda, wabunge wapiga kelele

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AGOMEA HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI KUSOMWA,

Charles James, Globu ya Jamii

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amekataa kusomwa kwa hotuba ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kwa kile alichoeleza kuwa zina shida ikiwemo kuwa na mambo mengi ya kubuni.

Amesema aliipata hotuba hiyo mapema na kuipitia ambapo amebaini kuwa na mambo mengi ya kubahatisha huku ikiwa haijazingatia kanuni za kiuandishi.

Amesema hawezi kuruhusu mambo ya mwaka wa kwanza na wa pili wa Bunge kufanywa katika mwaka wa tano na hivyo kusema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani