Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu akemea unabii wenye nia mbaya bungeni

Askofu wa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas NyaisongaASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas Nyaisonga, ameongoza Ibada ya kuombea Bunge Maalumu la Katiba, ili Mungu awezeshe wajumbe wa Bunge hilo kuwawakilisha Watanzania vyema.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu akemea wabunge kuzomeana

ASKOFU wa Kanisa la The Gospel Ministry, Kanda ya Kati, Christopher Madole, amekemea wabunge kutumia muda wao kuzomeana na kutukanana badala ya kujadili hoja. Akizungumza na Tanzania Daima jana juu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Askofu Desmond Tutu akemea ANC

Askofu mkuu nchini Afrika Kusini Desmond Tutu, amesema kuwa Nelson Mandela angechukizwa sana na ANC kukosa kuwajumuisha watu wa jamii ya Afrikaans kwenye ibada za mazishi yake.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu Dallu akemea Utanganyika, ahofia Muungano

ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Geita, Damian Dallu, amekemea vuguvugu la watu wanaotaka kuirejesha Tanganyika katika siasa za Muungano.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu Mtetemelwa akemea kauli ya Profesa Lipumba

Askofu Mstaafu, Donald Mtetemela amesema kauli ya Profesa Ibrahimu Lipumba kuwaita Wajumbe wa Bunge la Katiba kuwa ni Intarahamwe inaweza kuamsha hisia za wananchi na kusababisha migogoro nchini na kusema inapaswa kupingwa na kulaaniwa.

 

11 years ago

Habarileo

Makinda akemea 'utajiri' bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda ametaka wanaotarajia kugombea katika uchaguzi mkuu wa 2015 kujiweka sawa kiuchumi badala ya kutegemea kutajirika wakiwa bungeni. Wakati Makinda akitoa ushauri huo kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba, kwa upande wake Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake, Anna Abdalah amesema wanaosema posho ya Sh 300,000 kwa siku haitoshi wana sababu zao.

 

10 years ago

Habarileo

Spika akemea utoro bungeni

Spika wa Bunge, Anna Makinda.SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Anne Makinda amesikitishwa na wimbi la wabunge kutofika kwenye vikao vya mjadala wa bajeti ya serikali mwaka 2015/16.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu: Ukawa rudini bungeni

KANISA Katoliki Tanzania limetoa tamko zito kuhusu mchakato wa Katiba unaoendelea, matukio yanayoashiria uchochezi wa dini na Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika mwaka kesho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu ataka UKAWA warudi bungeni

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini (TMC), Mathew Byamungu ametoa wito kwa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea kwenye Bunge la Katiba pindi litakapoanza tena. Askofu...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu: Msichague wagombea wenye makandokando mengi

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk Barnabas Mtokambali, amewataka Watanzania kumkataa mgombea mwenye makandokando ya ufisadi na rushwa na kuelekeza nguvu kwenye masanduku ya kura ili wezi na mafisadi wasipate uongozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani