Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Mtetemelwa akemea kauli ya Profesa Lipumba

Askofu Mstaafu, Donald Mtetemela amesema kauli ya Profesa Ibrahimu Lipumba kuwaita Wajumbe wa Bunge la Katiba kuwa ni Intarahamwe inaweza kuamsha hisia za wananchi na kusababisha migogoro nchini na kusema inapaswa kupingwa na kulaaniwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu Mtetemela alaani kauli ya Lipumba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela, amelaani kauli iliyotolewa na mjumbe mwenzake, Profesa Ibrahim Lipumba ya kulifananisha bunge hilo na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu akemea wabunge kuzomeana

ASKOFU wa Kanisa la The Gospel Ministry, Kanda ya Kati, Christopher Madole, amekemea wabunge kutumia muda wao kuzomeana na kutukanana badala ya kujadili hoja. Akizungumza na Tanzania Daima jana juu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Askofu Desmond Tutu akemea ANC

Askofu mkuu nchini Afrika Kusini Desmond Tutu, amesema kuwa Nelson Mandela angechukizwa sana na ANC kukosa kuwajumuisha watu wa jamii ya Afrikaans kwenye ibada za mazishi yake.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu Dallu akemea Utanganyika, ahofia Muungano

ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Geita, Damian Dallu, amekemea vuguvugu la watu wanaotaka kuirejesha Tanganyika katika siasa za Muungano.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu akemea unabii wenye nia mbaya bungeni

Askofu wa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas NyaisongaASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma, Mhashamu Gervas Nyaisonga, ameongoza Ibada ya kuombea Bunge Maalumu la Katiba, ili Mungu awezeshe wajumbe wa Bunge hilo kuwawakilisha Watanzania vyema.

 

10 years ago

BBCSwahili

Profesa Lipumba afikishwa mahakamani

Mwenyekiti wa chama cha CUF nchini Tanzania Ibrahim Lipumba amefikishwa mahakamani kwa kuandamana kinyume cha sheria

 

10 years ago

Raia Tanzania

Profesa Lipumba aibukia Kigali

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unawanyima demokrasia wananchi kwa kuwa watakuwa na wagombea urais wawili kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza na kituo cha runinga cha Azam juzi baada ya vyombo kadhaa vya habari kuandika uvumi kwamba ametoweka nchini kwa shinikizo huku akiwa amefadhaika, Profesa Lipumba alikanusha taarifa hizo na kuonyesha masikitiko yake jinsi Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...

 

10 years ago

BBCSwahili

Profesa Lipumba awekwa kizuizini

Polisi Tanzania linamshikilia mwenyekiti wa chama cha siasa cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba na wakiwemo wafuasi wake 32.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba avuruga Bunge

Kwa mara ya pili, Spika Anne Makinda jana alilazimika kuahirisha kwa muda shughuli za Bunge la Jamhuri ya Muungano baada ya wabunge wa vyama vya upinzani kukataa kukaa, wakishinikiza kitendo cha polisi kumpiga na baadaye kumkamata Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kijadiliwe kwa masilahi ya Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani