Makinda akemea 'utajiri' bungeni
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda ametaka wanaotarajia kugombea katika uchaguzi mkuu wa 2015 kujiweka sawa kiuchumi badala ya kutegemea kutajirika wakiwa bungeni. Wakati Makinda akitoa ushauri huo kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba, kwa upande wake Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake, Anna Abdalah amesema wanaosema posho ya Sh 300,000 kwa siku haitoshi wana sababu zao.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania