Vuta nikuvute Bungeni, Spika Makinda ahairisha bunge
Spika wa Bunge Anna Makinda amelazimika kuahirisha kikao cha Bunge kilichoanza jana, baada ya vuta nikuvute iliyotokea baada ya kutolewa kwa hoja binafsi kutoka kwa Mbunge na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia kuhusu jeshi la polisi kumshambulia Profesa Ibrahimu Lipumba jana akiwa kwenye maandamano .Akizungumza katika bunge hilo Mbatia amesema kuwa kitendo cha polisi cha kuwapiga raia wasiokuwa na hatia, kuwazalilisha waandishi wa habari na kupiga mabomu ya machozi kiasi cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Vuta nikuvute bungeni, Spika Makinda ahairisha Bunge
10 years ago
Habarileo30 Nov
Vuta nikuvute ndani ya Bunge yamalizwa kistaarabu
BUNGE jana liliahirishwa kwa mara tatu mfululizo, kutokana na kutoafikiana juu ya mapendekezo yaliyotolewa dhidi ya wahusika wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa katika Benki Kuu Tanzania (BoT).
10 years ago
Dewji Blog01 Apr
BREAKING NEWS:Spika Makinda akatisha Bunge kunusuru fujo Bungeni Dodoma leo
Spika wa Bunge, Anne Makinda saa moja iliyopita mjini Dodoma, ameamua kukatisha kikao cha 19 cha Bunge kilichokuwa kikiendelea mjini humo kufuaatia Wabunge kusimama kwa kumshinikiza Waziri Mkuu atoe kauli ya juu ya Zoezi la uandikishaji wapigakura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura lililokuwa likiendelea Mkoa wa Njombe, huku likikabiliwa na changamoto nyingi, ikiwamo mashine za Biometric Voter Registration (BVR), kushindwa kufanya kazi ipasavyo na matatizo juu ya zoezi hilo.
11 years ago
MichuziSpika wa Bunge la Uholanzi na ujumbe wake wamtembelea Spika Makinda leo
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Vuta nikuvute kuhusu ‘selfie’ ya tumbili
10 years ago
Mwananchi18 May
Vuta nikuvute ya Burundi na historia yake
9 years ago
MichuziSPIKA WA BUNGE MHE. ANNE MAKINDA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA TUME YA UTUMISHI YA BUNGE LA NIGERIA OFISINI KWAKE LEO
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Anne Semamba Makinda Spika wa Bunge
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-6xF6gU8ttPk/U_78ggu6oQI/AAAAAAAABko/8frNcpLzS4g/s72-c/MAKINDAANNE.jpg)
Spika Makinda ataka ushirikiano Bunge la EAC
Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutengeneza utaratibu wa kuongeza uhusiano kati ya bunge hilo na yale ya nchi wanachama.
Akizungumza katika ufunguzi wa bunge hilo, Spika Anne alisema tayari maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubalina kuunda kamati zitakazoshughulikia mambo ya jumuia hizo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6xF6gU8ttPk/U_78ggu6oQI/AAAAAAAABko/8frNcpLzS4g/s1600/MAKINDAANNE.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10