Vuta nikuvute kuhusu ‘selfie’ ya tumbili
Mpigapicha anayedai kumiliki ‘selfie’ ya tumbili kutoka Indonesia amesema atapinga jaribio la kumpokonya hakimiliki ya picha hiyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 May
Vuta nikuvute ya Burundi na historia yake
10 years ago
Habarileo30 Nov
Vuta nikuvute ndani ya Bunge yamalizwa kistaarabu
BUNGE jana liliahirishwa kwa mara tatu mfululizo, kutokana na kutoafikiana juu ya mapendekezo yaliyotolewa dhidi ya wahusika wa sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa katika Benki Kuu Tanzania (BoT).
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Vuta nikuvute bungeni, Spika Makinda ahairisha Bunge
10 years ago
Vijimambo28 Jan
Vuta nikuvute Bungeni, Spika Makinda ahairisha bunge
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2604812/highRes/932472/-/maxw/600/-/k9nluaz/-/makinda.jpg)
11 years ago
Habarileo26 Jun
Werema amuita Mbunge tumbili
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili. Kabla ya kutoa kauli hiyo, Werema alikuwa akitoa ufafanuzi wa mwongozo ulioombwa na Kafulila, kuhusu fedha zilizokuwa katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambazo zimelipwa kwa kampuni ya PAP, inayomiliki mitambo ya kampuni ya umeme ya Independent Power Tanzania Limited(IPTL).
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Wanaoitana tumbili na mwizi wanatufundisha nini?
INAWEZEKANA sio wengi walioshtushwa sana na kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumuita mbunge tumbili. Kwa Bunge hili lililo chini ya Anne Makinda, tumeshuhudia mengi sana. Tulishahuhudia mbunge akimwambia mwenzake...
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Saudia yakataa tumbili wa Sweden Kisa ?
10 years ago
BBCSwahili07 May
Tumbili mwenye jina sawa na bintimfalme
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Kwa Werema Watanzania ni tumbili wa kukatwa vichwa!
KATIKA makala yangu ya wiki iliyopita, niliyokuwa naunga mkono wazo la Juvenalis Ngowi la kupunguza ukubwa wa Bunge letu, nilisema kwamba upungufu wa elimu ya uraia kwa wananchi ni tatizo...