Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Werema amuita Mbunge tumbili

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili. Kabla ya kutoa kauli hiyo, Werema alikuwa akitoa ufafanuzi wa mwongozo ulioombwa na Kafulila, kuhusu fedha zilizokuwa katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambazo zimelipwa kwa kampuni ya PAP, inayomiliki mitambo ya kampuni ya umeme ya Independent Power Tanzania Limited(IPTL).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa Werema Watanzania ni tumbili wa kukatwa vichwa!

KATIKA makala yangu ya wiki iliyopita, niliyokuwa naunga mkono wazo la Juvenalis Ngowi la kupunguza ukubwa wa Bunge letu, nilisema kwamba upungufu wa elimu ya uraia kwa wananchi ni tatizo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Saudia yakataa tumbili wa Sweden Kisa ?

Saudi Arabia imekatalia mbali tumbili wanne kutoka Sweden kufuatia tofauti za kidiplomasia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaoitana tumbili na mwizi wanatufundisha nini?

INAWEZEKANA sio wengi walioshtushwa sana na kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumuita mbunge tumbili. Kwa Bunge hili lililo chini ya Anne Makinda, tumeshuhudia mengi sana.  Tulishahuhudia mbunge akimwambia mwenzake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tumbili mwenye jina sawa na bintimfalme

Hifadhi moja ya wanyama huko Japan imelazimika kuomba msamaha baada ya kuipa tumbili jina sawa na la binti mfalme wa Uingereza Charlotte

 

9 years ago

BBCSwahili

Vuta nikuvute kuhusu ‘selfie’ ya tumbili

Mpigapicha anayedai kumiliki ‘selfie’ ya tumbili kutoka Indonesia amesema atapinga jaribio la kumpokonya hakimiliki ya picha hiyo.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AMUITA JOKATE MAKOMBO

Shani Ramadhan na Chande Abdallah DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandosya amuita Lowassa kambi yake

Dodoma. Profesa Mark Mwandosya, ambaye anawania kuteuliwa na CCM kugombea urais, amemtaka Edward Lowassa kujiunga na kambi yake kwa kuwa makada wengine wanne kwenye mbio hizo wanamuunga mkono.

 

10 years ago

Vijimambo

WEMA AMPONGEZA DIAMOND AMUITA KAKA

official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. 
 Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’, awamu hii ameitwa ‘kaka’. “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa...

 

10 years ago

CloudsFM

WEMA AMUITA DIAMOND ‘KAKA’, AMPONGEZA KUNYAKUA TUZO TATU

STAA wa Bongo,Wema Sepetu amempongeza aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinumz baada ya kunyakua tuzo tatu za Channel O Music Awards Jumamosi iliyopita zilizofanyika jijini Johhanesburg,Afrika Kusini.

Baada ya kusinda tuzo hizo kupitia mtandao wa Instagram Wema alimpongeza Diamond na kuandika hivi ‘’ Gnyt Instagramers... And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz... I must say he did Tanzania proud’’

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani