WEMA AMUITA DIAMOND ‘KAKA’, AMPONGEZA KUNYAKUA TUZO TATU
STAA wa Bongo,Wema Sepetu amempongeza aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinumz baada ya kunyakua tuzo tatu za Channel O Music Awards Jumamosi iliyopita zilizofanyika jijini Johhanesburg,Afrika Kusini.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Nov
WEMA AMPONGEZA DIAMOND AMUITA KAKA
![](http://api.ning.com/files/Ov90wJC7zCwW5NEI-hh97AM3L6O74SHLn3L*V2mLMpmEXlxMGHQq3zYEy56e9EHzjuDD*H9HEY3Lg3FuOhSgYFkdEIk7V68n/07diamondtuzo7.jpg?width=650)
Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’, awamu hii ameitwa ‘kaka’. “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa...
10 years ago
Bongo530 Nov
Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’, Zari achukua nafasi yake rasmi, amsindikiza kwenye #CHOAMVA14
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Amuita WIFI Mwingine MKWE!!
Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni
Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia Esma ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI. Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.
“Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma
Baada ya saa...
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Wema Akataa Unafiki, Ampongeza Diamond
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia kwa jambo zuri alilofanya hana sababu ya kukaa kimya na akinyamaza atakuwa mnafiki.
“Nikikaa kimya bila ya kumpongeza Chibu...
10 years ago
CloudsFM24 Dec
10 years ago
Bongo Movies30 Nov
Wema Sepetu azua gumzo kwenye mtandao baada ya kumuita Diamond "kaka"
Huku macho na masikio ya wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yakiwa kwenye bunge la katiba linalojadili lile sakata la tegeta ESCROW, mwanadada Wema sepetu ameamua naye kuzua gumzo kwenye mtandao baada ya kutoa salamu ya pongezi kwa kijana Naseeb al maarufu kama Chibu dangote ama Diamond platnumz kwa ushindi wake wa tuzo 3 kwenye tuzo za Channel O MUSIC AWARDS zilizofanyika huko Afrika ya kusini akitumia neno KAKA katika sentensi yake kitu ambacho kimezua minong’ono ya hapa na pale...
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Diamond ajizolea tuzo tatu za Channel O
9 years ago
Bongo526 Oct
Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa