Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AMPONGEZA DIAMOND KWA KUTWAA TUZO ZA KIMATAIFA

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Diamond atamba kutwaa tuzo MTV

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul ‘Diamond’akiongea na waandishi wa habari kabla ya kuanza show hiyo,(kushoto), ni wasanii wa kundi la Sauti Sol.  Picha ya pamoja.  Watangazaji wa MTV Base Vanessa Mdee (kushoto),  na Nomuzi Mabe (kulia), wakiwaelezea mashabiki wa muziki kuhusina na show  hizo.  Kundi la Mi Casa likitoa burudani.  Diamond akitoa burudani.   Mashabiki mbalimbali waliofurika katika ukumbi huo wakifuatilia show. Mashabiki mbalimbali waliofurika...

 

9 years ago

Bongo5

Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa

Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi. Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika. “Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. […]

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KUTWAA TUZO 3 SAUZ, DIAMOND KUPIGA SHOO MAREKANI

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini Marekani. Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton akiwa na crew yake ya Wasafi. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yampongeza msanii Diamond Platnumz kwa kushinda tuzo ya Kimataifa

DSC_0048

Meneja wa huduma ya Tigo music, Balla Shareeph akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ kwa kupata tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, Kampuni ya Tigo ilidhamini tukio hilo jana jijini Dar Es Salaam.

DSC_0105

Msanii Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kumpongeza kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika za MTV 2015 zilizofanyika mjini...

 

10 years ago

CloudsFM

WEMA AMUITA DIAMOND ‘KAKA’, AMPONGEZA KUNYAKUA TUZO TATU

STAA wa Bongo,Wema Sepetu amempongeza aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinumz baada ya kunyakua tuzo tatu za Channel O Music Awards Jumamosi iliyopita zilizofanyika jijini Johhanesburg,Afrika Kusini.

Baada ya kusinda tuzo hizo kupitia mtandao wa Instagram Wema alimpongeza Diamond na kuandika hivi ‘’ Gnyt Instagramers... And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz... I must say he did Tanzania proud’’

 

11 years ago

Mtanzania

Diamond, Lady Jaydee wanyakua tuzo za kimataifa

Lady Jaydee

Mwanamuziki Lady Jaydee

NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini anayetamba na wimbo wake wa Mdogomdogo, Nasseb Abdul ‘Diamond Platinumz’,  juzi ametwaa tuzo mbili katika tuzo za Afrika Music Magazine Award ‘AFRIMMA 2014’ kupitia kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki zilizofanyika Eisemann Center Richardson, Texas, Marekani.

Mkali huyo wa wimbo wa My Number One, alishinda tuzo hizo ikiwemo ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na ile ya Wimbo bora...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND ASHINDA TUZO ZINGINE ZA KIMATAIFA HUKO NCHINI JAMAICA.

Msanii wa Bongo Flavour ambae anaendelea kufanya Vizuri siku baada ya siku Diamond Platnumz ametangazwa mshindi kwenye Tuzo za Kimataifa za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) kwenye kipengele cha Nyimbo Bora ya Kiafrika kupitia Track yake ya MdogoMdogo, Tuzo hizo zilizofanyika huko nchini Jamaica siku ya tarehe 4 mwezi huu. Kupitia Mitandao wa kijamii diamond aliandika “It always seems impossible until it's Done!...ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani