Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA KUTWAA TUZO 3 SAUZ, DIAMOND KUPIGA SHOO MAREKANI

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini Marekani. Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton akiwa na crew yake ya Wasafi. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIAMOND ATWAA TUZO 3 ZA CHANNEL O SAUZ

Diamond akiwa na tuzo. MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku huu nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!

 

11 years ago

Michuzi

Diamond atamba kutwaa tuzo MTV

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Naseeb Abdul ‘Diamond’akiongea na waandishi wa habari kabla ya kuanza show hiyo,(kushoto), ni wasanii wa kundi la Sauti Sol.  Picha ya pamoja.  Watangazaji wa MTV Base Vanessa Mdee (kushoto),  na Nomuzi Mabe (kulia), wakiwaelezea mashabiki wa muziki kuhusina na show  hizo.  Kundi la Mi Casa likitoa burudani.  Diamond akitoa burudani.   Mashabiki mbalimbali waliofurika katika ukumbi huo wakifuatilia show. Mashabiki mbalimbali waliofurika...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND APATA SHAVU ‘SAUZ’LA KUGAWA TUZO ZA CHANNEL O, NA KUSHIRIKI KWENYE KAMPENI YA EBOLA

Wiki iliyopita staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz aliachia ngoma yake mpya ‘’Nitampata Wapi’’ ‘audio’ na ‘video’, na mapokeo yake kwa mashabiki kuwa makubwa sana kwani mpaka leo kwenye mtandao wa ‘You Tube’ video hiyo imetazamwa zaidi ya mara 558,276.

Safari hii Diamond amepta shavu nchini South Afrika, asubuhi ya leo aliingia ndani ya jumba la Big Brother na kuzungumza na washiriki wa shindano hilo. Pia kuna ngoma atarekodi huko na pia licha ya kutajwa kwenye tuzo za Channel O Music Video...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AGONGA SHOO YA NGUVU, AWEKA HISTORIA NEW JERSEY‏ NCHINI MAREKANI

Mwanamuziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz anayekimbiza vibaya mno kwenye anga za Bongo Flava akipagawisha mashabiki wake New Jersey nchini Marekani. Diamond na madancer wake wakijaribu kukata kiu ya mashabiki wake wa pwani ya mashariki.…

 

10 years ago

Vijimambo

Baada ya Kupiga Show ya Nguvu Nigeria, Diamond Afunguka na Kusema Haamini Macho yake

STAA Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambazo zimefanyika huko jijini, Lagos, Nigeria.Akizungumza na Showbiz, Diamond alisema amefurahi kupata nafasi ya pekee ambayo mara nyingi hutolewa kwa wasanii wakubwa Marekani na kuamini kwamba muziki wa Tanzania unathaminika kila kona.
“Nimefurahi maana hii inaonyesha jinsi gani...

 

11 years ago

GPL

MBALI NA KUKOSA TUZO, DIAMOND GUMZO MAREKANI

Diamond Platnumz akisalimiana na kupiga stori na rapper Cornell Iral Haynes 'Nelly'. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' amezidi kupasua anga la kimataifa kwa kuhudhuria Tuzo za BET 2014, Los Angeles, Califonia nchini Marekani usiku wa kuamkia leo na kuwa gumzo nchini humo. Kwenye tuzo hizo, Diamond alikuwa akiwania Tuzo ya Msanii Bora wa Kimataifa kutoka Afrika 'Best International Act: Africa' ambayo ilichukuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani