Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Kupiga Show ya Nguvu Nigeria, Diamond Afunguka na Kusema Haamini Macho yake

STAA Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambazo zimefanyika huko jijini, Lagos, Nigeria.Akizungumza na Showbiz, Diamond alisema amefurahi kupata nafasi ya pekee ambayo mara nyingi hutolewa kwa wasanii wakubwa Marekani na kuamini kwamba muziki wa Tanzania unathaminika kila kona.
“Nimefurahi maana hii inaonyesha jinsi gani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Meneja wa Diamond Afunguka Kilicho Sababisha Diamond Asifanye show London Juzi Usiku

Kutokana na tukio hilo, Meneja wa mwanamuziki huyo, Hamis Taletale maarufu Babu Tale ambaye hakuambatana naye, aliliambia gazeti hili kuwa Diamond alipokea mwaliko kutoka kwa promota huyo, lakini hakulipwa fedha hata kidogo, jambo ambalo lilimfanya ashindwe kufanya uamuzi wowote.“Diamond alipofika Uingereza yule promota alimdaka juu kwa juu kwa kuwa kule alikwenda kwa ajili ya shoo ya Ujerumani itakayofanyika usiku wa leo (jana) akimtaka afanye shoo jijini London, Uingereza, alikubali na...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu

WizkidMuimbaji mahiri kutoka nchini Nigeria, Wizkid akisindikizwa na wasanii wakubwa wa Tanzania, Diamond, Christian Bella pamoja na Fid Q jana katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam walizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki. Wizkid akiwa karibu na mashabiki wake Wasanii hao waliopanda kwenye jukwaa hilo katika mida mida tofauti, kila mmoja alitaka kuonyesha […]

 

10 years ago

GPL

BAADA YA KUTWAA TUZO 3 SAUZ, DIAMOND KUPIGA SHOO MAREKANI

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' anataraji kufanya shoo ya nguvu Jumamosi ijayo ya Desemba 6, mwaka huu nchini Marekani. Diamond ambaye juzi usiku alikomba tuzo tatu za Channel O ambazo ni Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One anataraji kupiga shoo jijini Washington DC kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Sheraton akiwa na crew yake ya Wasafi. ...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond afunguka juu ya tofauti zilizokuwa zikizungumzwa baina yake na Alikiba

Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’ ambayo Nasib Abdul amedai kuwa haipo. Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa inazungumzwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani