Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond afunguka juu ya tofauti zilizokuwa zikizungumzwa baina yake na Alikiba

Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’ ambayo Nasib Abdul amedai kuwa haipo. Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa inazungumzwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Audio: G-Lover azungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba

Moja ya mdau mkubwa wa muziki nchini na mmiliki wa G Records, studio iliyomtoa Alikiba, Guru Ramadhan aka DJ G-Lover, amezungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba aliyewahi kuwa chini yake. Akizungumza na Vijimambo, Lover ambaye akiwa meneja wa Alikiba walitoa album mbili, amewaka bayana uwezo wa kila msanii na jinsi walivyojikuta kwenye biashara. […]

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE Gossip: “Dada wa Diamond Platnumz, Esma afunguka juu ya manyanyaso ya #teamWema mtandaoni

11068392_831372470232959_8951500805736951610_n

Esma mdogo wa Diamond Platnumz, aliyevunja ukimya, asubuhi ya leo juu ya kufuatwa fuatwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wa marafiki wa Wema Sepetu #teamWema, ambao wamekuwa wakitukana na kumtaka asimsaidie kaka yake juu ya shughuli zake za muziki.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Kuna misemo mingi juu ya mawifi wengi ‘wanagugu’ hasa wa ndugu wa mme, hilo ndilo lililomkuta dada wa mwanamuziki nyota nayefanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ajulikanaye kwa jina la Esma...

 

10 years ago

Vijimambo

Baada ya Kupiga Show ya Nguvu Nigeria, Diamond Afunguka na Kusema Haamini Macho yake

STAA Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambazo zimefanyika huko jijini, Lagos, Nigeria.Akizungumza na Showbiz, Diamond alisema amefurahi kupata nafasi ya pekee ambayo mara nyingi hutolewa kwa wasanii wakubwa Marekani na kuamini kwamba muziki wa Tanzania unathaminika kila kona.
“Nimefurahi maana hii inaonyesha jinsi gani...

 

11 years ago

Bongo5

Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Platnumz lakini….!

Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Kupitia kipindi cha Sporah kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani