Audio: G-Lover azungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba
Moja ya mdau mkubwa wa muziki nchini na mmiliki wa G Records, studio iliyomtoa Alikiba, Guru Ramadhan aka DJ G-Lover, amezungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba aliyewahi kuwa chini yake. Akizungumza na Vijimambo, Lover ambaye akiwa meneja wa Alikiba walitoa album mbili, amewaka bayana uwezo wa kila msanii na jinsi walivyojikuta kwenye biashara. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo525 Jul
Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi
Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya kituo cha Radio Citizen kuzungumzia masuala mbalimbali kuanzia filamu, muziki, biashara, ushindani kati ya Alikiba na Diamond na uhusiano. Kuhusu nyimbo mpya […]
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XrJGhsvolvA/default.jpg)
10 years ago
Bongo520 Aug
Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz
Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko. “Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio […]
10 years ago
Bongo513 Oct
Diamond afunguka juu ya tofauti zilizokuwa zikizungumzwa baina yake na Alikiba
Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’ ambayo Nasib Abdul amedai kuwa haipo. Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa inazungumzwa […]
10 years ago
Bongo515 Aug
Babu Tale: Sidhani kama kuna beef kati ya Diamond na Alikiba
Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema haoni kama kuna beef kati ya msanii wake na Alikiba bali ni ushindani wa kibiashara. “Mimi sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara, challenging,” Tale amekiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM. “Sijawahi kuona wanagombana katika maisha yangu. Watu wanaoandika nyuma wanaandika kwa sababu wanaamua kuandika […]
9 years ago
Bongo522 Oct
Malumbano kati ya mashabiki wa Alikiba na Diamond yanaathiri muziki wangu — Abdul Kiba
Mdogo wake na Alikiba, Abdul Kiba amesema muziki wake unaathiriwa na malumbano yasiyoisha kati ya mashabiki wa Kiba na Diamond. Abdul Kiba aliyewahi kutamba na wimbo Kidela aliomshirikisha kaka yake huyo, amekiambia kipindi cha Siz Kitaa kinachorushwa na Clouds TV kuwa mashabiki wa wasanii hao wamekuwa wakimshambulia yeye bila sababu yoyote. “Zimeathiri kwa sababu muziki […]
11 years ago
Bongo523 Jul
Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Platnumz lakini….!
Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Kupitia kipindi cha Sporah kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania