Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz

Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko. “Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Audio: G-Lover azungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba

Moja ya mdau mkubwa wa muziki nchini na mmiliki wa G Records, studio iliyomtoa Alikiba, Guru Ramadhan aka DJ G-Lover, amezungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba aliyewahi kuwa chini yake. Akizungumza na Vijimambo, Lover ambaye akiwa meneja wa Alikiba walitoa album mbili, amewaka bayana uwezo wa kila msanii na jinsi walivyojikuta kwenye biashara. […]

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Jokate azungumzia filamu, muziki, biashara, Alikiba vs Diamond, Wema na mapenzi

Jokate Mwegelo yupo jijini Nairobi, Kenya ambapo hata hivyo hajaweka wazi ameenda kufanya nini lakini aliweza kukutana na Mzazi Willy M Tuva kwenye show ya redio inayosikilizwa zaidi nchini humo, ‘Mambo Mseto’ ya kituo cha Radio Citizen kuzungumzia masuala mbalimbali kuanzia filamu, muziki, biashara, ushindani kati ya Alikiba na Diamond na uhusiano. Kuhusu nyimbo mpya […]

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba kuhusu collabo na Diamond: Nikiwa na wimbo unaomfaa ntamshirikisha

Alikiba amedai anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata wimbo unaomfaa msanii huyo. “Ngoja nikwambie ukweli, sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond, ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo, kiukweli nitamshirikisha lakini kama hastahili haitawezekana,” Alikiba aliliambia gazeti hilo la kila siku. Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kopa kufanya kolabo na Alikiba, Diamond

MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond Platinumz....

 

9 years ago

Bongo5

Baghdad atahadharisha watu wasijekuelewa vibaya wimbo wake ujao ‘Ninae’, amewataja Diamond na Alikiba

Rapper Baghdad amewatahadharisha watu wasije kuuelewa vibaya wimbo wake ujao, ‘Ninae.’ Baghdad na mke wake Rapper huyo ambaye hivi ndoa July 25 mwaka huu na mchumba wake waliyedumu kwa miaka mitatu, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo umefanyika kwenye studio za Kaburu Records na producer akiwa ni Islam Touches ‘Ninae’ unazungumzia mtu ambaye amepata mpenzi wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani