Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baghdad atahadharisha watu wasijekuelewa vibaya wimbo wake ujao ‘Ninae’, amewataja Diamond na Alikiba

Rapper Baghdad amewatahadharisha watu wasije kuuelewa vibaya wimbo wake ujao, ‘Ninae.’ Baghdad na mke wake Rapper huyo ambaye hivi ndoa July 25 mwaka huu na mchumba wake waliyedumu kwa miaka mitatu, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo umefanyika kwenye studio za Kaburu Records na producer akiwa ni Islam Touches ‘Ninae’ unazungumzia mtu ambaye amepata mpenzi wa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Baghdad Ft Nandy — Ninae

Rapper Baghdad ameachia wimbo mpya unaitwa “Nanae” amemshirikisha mwandada Nandy Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!

baghdad

Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.

baghdad

Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.

Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:

“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz

Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia. Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko. “Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio […]

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba kuhusu collabo na Diamond: Nikiwa na wimbo unaomfaa ntamshirikisha

Alikiba amedai anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata wimbo unaomfaa msanii huyo. “Ngoja nikwambie ukweli, sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond, ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo, kiukweli nitamshirikisha lakini kama hastahili haitawezekana,” Alikiba aliliambia gazeti hilo la kila siku. Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond: Sina beef na Davido, watu walinielewa vibaya tu!

Kwa mara ya kwanza Diamond Platnumz amezungumzia kile kinachoaminika kuwa ni beef kati yake na msanii wa Nigeria, Davido iliyotokana na ushindi wa Idris kwenye Big Brother Africa. Akiongea na waandishi wa habari jana baada ya kuwasili jijini Kampala, Uganda kwaajili ya kutumbuiza kwenye party ya mpenzi wake mpya, Zari The Bosslady, Diamond alisema watu […]

 

9 years ago

MillardAyo

Picha kutoka chimbo la Alikiba na watu wake wakijiandaa kuikamata stage Escape 1 December 26

Mwaka 2015 unaisha huku staa wa Bongofleva akiandika rekodi nzuri na ya nguvu kabisa, ni rekodi ya kurudi kwenye game na kuachia ngoma nyingi ambazo zote zimepokelewa kwa mikono miwili. December 26 2015 stage ya Escape One, Mikocheni Dar es Salaam itashuhudia Alikiba akidondosha burudani ya nguvu kama shukrani kwa watu wake waliompokea vizuri kwenye […]

The post Picha kutoka chimbo la Alikiba na watu wake wakijiandaa kuikamata stage Escape 1 December 26 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AMWIMBIA SHABIKI WAKE WIMBO WA SIKU YA KUZALIWA

Diamond Platnumz akimwimbia shabiki wake Osama Mwita kutoka Tanzania  wimbo wa siku ya kuzaliwa siku ya Jumamosi Desemba 6, 2014 kwenye sherehe ya Uhuru ilizofanyika katika hotel ya Sheraton Downtown Silver Spring, Maryland nchini Marekani.Diamond akiendelea kumwimbia shabiki wake huyo ambaye usiku wa Desemba 6, 2014 ilikua ni siku yake ya kuzaliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani