Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND AMWIMBIA SHABIKI WAKE WIMBO WA SIKU YA KUZALIWA

Diamond Platnumz akimwimbia shabiki wake Osama Mwita kutoka Tanzania  wimbo wa siku ya kuzaliwa siku ya Jumamosi Desemba 6, 2014 kwenye sherehe ya Uhuru ilizofanyika katika hotel ya Sheraton Downtown Silver Spring, Maryland nchini Marekani.Diamond akiendelea kumwimbia shabiki wake huyo ambaye usiku wa Desemba 6, 2014 ilikua ni siku yake ya kuzaliwa.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Stamina asherehekea siku yake ya kuzaliwa na wimbo mpya ‘Mr Bonventure’

12237338_1516367548673634_1513271570_n

Rapper Stamina Jumamosi hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuachia wimbo mpya uitwao Mr Bonventure unaoelezea historia ya maisha yake kama bonus kwa mashabiki wake.

12237338_1516367548673634_1513271570_n

Stamina ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili mashabiki wajue ni jinsi gani walivyobadili maisha yake.

“Nashukuru Mungu, media pamoja na mashabiki wangu. Huu wimbo niliotoa ni kwa ajili yao kama bonus track, unaelezea maisha yangu kwa ujumla na kazi yangu official itatoka hivi karibuni. Kwahiyo wimbo tayari upo...

 

9 years ago

MillardAyo

Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki. Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu […]

The post Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa. appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

NURLAITH AFANYAWA SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA NA WAZAZI WAKE

Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akifanyiwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa siku ya Jumapili June 7, 2014 Bladensburg water front park na kuhudhuria ndugu, jamaa na marafiki.Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akiimbiwa wimbo wa siku ya kuzaliwa na watoto wenzake.Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akilishwa keki na mama yake.Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akiwa amebebwa na baba yake akipata picha ya pamojapicha ya pamojaMtoto Nurlaith mchezaji...

 

10 years ago

Bongo Movies

Leo Ikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Meneja Wake, Wema Asema Haya...

Meneja wa staa na mrembo  Wema Sepetu, Martin Kadinda leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa na hiki ndicho Wema alichotoboa mara baada ya kubandika picha hiyo akiwa na Kadinda.

“I think da picture speaks for itself... My kaka Manager.....!!! I thank the good Lord for you cause only he knows wat i would’ve bin without you.... My very own Shadow... I dont call you The Man behind Wema Sepetu for nothing but because you truly are that One person standing behind me and Iam The luckiest girl to...

 

10 years ago

Bongo Movies

Leo Ikiwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Meneja Wake, Wema Asema Haya...

Meneja wa staa na mrembo  Wema Sepetu, Martin Kadinda leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa na hiki ndicho Wema alichotoboa mara baada ya kubandika picha hiyo akiwa na Kadinda.

“I think da picture speaks for itself... My kaka Manager.....!!! I thank the good Lord for you cause only he knows wat i would’ve bin without you.... My very own Shadow... I dont call you The Man behind Wema Sepetu for nothing but because you truly are that One person standing behind me and Iam The luckiest girl to...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West asahau mashairi ya wimbo wake kwenye birthday ya mama mkwe wake na kuanza kuimba wimbo wa adui yake 50 Cent

222

Kanye West anadaiwa alijikuta akisahau mashairi ya wimbo wake mwenyewe wakati alipoombwa kutumbuiza kwenye birthday ya mama mkwe wake, Kris Jenner aliyetimiza miaka 60 wiki iliyopita.

rs_634x1024-130820163003-634.kris.cm.82013

Rapper huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa mic na muimbaji Charlie Wilson, aliyekuwa akiimba wimbo wake kabla ya kuanza kuimba wimbo wa Kanye, ‘See Me Now’ – aliomshirikisha Beyonce na – lakini alikiri kuwa hakumbuki mashairi ya wimbo huo wa mwaka 2010 na haraka akaanza kuimba wimbo wa adui yake.

Chanzo...

 

10 years ago

Bongo5

Audio: Diamond aonjesha kipande cha wimbo wake ambao haujatoka ‘Nitampata wapi’

Ni mara nyingi Diamond Platnumz huwa anasema kuwa ana nyimbo nyingi sana alizoisha rekodi na bado anaendelea kurekodi kila kukicha, lakini sio nyimbo zote alizonazo zitapata nafasi ya kutoka kama official singles. Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake. “wakati Mwingine natamanigi hata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani