NURLAITH AFANYAWA SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA NA WAZAZI WAKE
Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akifanyiwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa siku ya Jumapili June 7, 2014 Bladensburg water front park na kuhudhuria ndugu, jamaa na marafiki.
Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akiimbiwa wimbo wa siku ya kuzaliwa na watoto wenzake.
Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akilishwa keki na mama yake.
Mtoto Nurlaith mchezaji tarajio la Liverpool akiwa amebebwa na baba yake akipata picha ya pamoja
picha ya pamoja
Mtoto Nurlaith mchezaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Mtoto akutana na wazazi wake miezi 10 baada ya kuzaliwa
10 years ago
Vijimambo
WILLY MWAMBALASWA AFANYIWA SHEREHE YA SIKU YAKE YA KUZALIWA DALLAS, TEXAS


















10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi
PPF yadhamini sherehe za siku ya Wazazi ya sekondari za Marian,Bagamoto

11 years ago
Michuzi.jpg)
PPF yadhamini sherehe za siku ya Wazazi ya sekondari za Marian, Bagamoyo
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Dkt. Bilal ashiriki sherehe za maadhimisho ya siku ya kuzaliwa mwanzilishi wa uskauti duniani, jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania, Abdulkarim Shah (kulia) na Kiongozi wa Skauti, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana Feb 21, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Uskauti Duniani, Lord Rebert Stevenson Smyth Baden-Powell. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA MWANZILISHI WA USKAUTI DUNIANI


10 years ago
VijimamboDIAMOND AMWIMBIA SHABIKI WAKE WIMBO WA SIKU YA KUZALIWA
10 years ago
VijimamboSHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA