Alikiba kuhusu collabo na Diamond: Nikiwa na wimbo unaomfaa ntamshirikisha
Alikiba amedai anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata wimbo unaomfaa msanii huyo. “Ngoja nikwambie ukweli, sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond, ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo, kiukweli nitamshirikisha lakini kama hastahili haitawezekana,” Alikiba aliliambia gazeti hilo la kila siku. Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Jan
Haya ni mambo matano aliyoyasema Alikiba kuhusu Davido, na mpango wa collabo yao
![Ali na dav](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Ali-na-dav-300x194.jpg)
Mwaka 2015 staa wa Nigeria, Davido alitangaza kuwa mashabiki wajiandae kupokea collabo yake na Alikiba, kitu kilichowafurahisha mashabiki wengi wa muziki hususan team Alikiba.
“I have a song coming out with Alikiba too, that’s gonna be crazy” alisema Davido alipohojiwa na Millard Ayo kwenye Red Carpet ya tuzo za MTV MAMA mwaka jana 2015.
Kwa bahati mbaya hadi sasa tukiwa tayari tumeingia kwenye mwaka mpya 2016 collabo hiyo bado haijafanyika wala hakuna dalili zozote za kurekodiwa...
9 years ago
Bongo518 Nov
Video: Diamond atease wimbo mpya wa Tekno wa Nigeria, je ni collabo?
![tekno-miles-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tekno-miles-1-300x194.jpg)
Mkali wa ‘Duro’ Tekno Miles kutoka Nigeria anatarajia kuachia wimbo mpya wiki ijayo, baada ya kufanya vizuri na single ya ‘Duro’ ambayo imeshika chati mbalimbali za Afrika.
Mshindi wa tuzo 3 za Afrima 2015, Diamond ambaye yuko Nigeria alikoenda kwenye tuzo hizo, amewaonjesha mashabiki kupitia akaunti yake ya Instagram kionjo cha wimbo huo. Platnumz amepost video aliyojirekodi akiwa na Tekno kwenye gari yake wakisikiliza wimbo huo huku Tekno akiimba.
“Forget About DURO… we are about to...
10 years ago
Bongo520 Aug
Alikiba azungumzia uwezekano wa kufanya wimbo na Diamond Platnumz
9 years ago
Bongo502 Oct
Baghdad atahadharisha watu wasijekuelewa vibaya wimbo wake ujao ‘Ninae’, amewataja Diamond na Alikiba
10 years ago
Bongo527 Dec
Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo
10 years ago
Bongo503 Sep
Collabo ya Mwana FA na Alikiba ‘Kiboko Yangu’ yanukia
9 years ago
Bongo524 Dec
Ben Pol ampigia magoti Alikiba, wayamaliza, huenda wakafanya collabo
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Kiba-1-300x194.jpg)
Wagombanao ndio wapatanao. Baada ya wiki nzima ya kuoga matusi kutoka kwa mashabiki wa Alikiba kutokana na kauli yake ya utata kwenye Twitter, Ben Pol amekiri kuwa aliteleza na kumuomba radhi muimbaji huyo wa Nagharamia.
Akiongea kwa simu kupitia kipindi cha Jahazi cha Clouds FM Alhamis hii ambako Kiba alikuwepo studio, Ben Pol alisema yeye ni shabiki mkubwa wa Kiba na anamchukulia kama kaka yake na amekiri kuwa tweet ile haikuwa sawa.
“Mimi shabiki wa Kiba, moyoni mwangu nina furaha kubwa...
9 years ago
Bongo512 Oct
Teaser: Alikiba aonjesha collabo yake mpya na Christian Bella ‘Nagharamia’ (Audio)