Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu
Muimbaji mahiri kutoka nchini Nigeria, Wizkid akisindikizwa na wasanii wakubwa wa Tanzania, Diamond, Christian Bella pamoja na Fid Q jana katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam walizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki. Wizkid akiwa karibu na mashabiki wake Wasanii hao waliopanda kwenye jukwaa hilo katika mida mida tofauti, kila mmoja alitaka kuonyesha […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Nov
Uchambuzi: Show ya Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q ilikuwa moto wa kuotea mbali, soma yaliyojiri
![Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wizkid1-94x94.jpg)
5 years ago
Bongo514 Feb
Christian Bella kufanya show 4 mfululizo Australia
Mkali wa masauti Christian Bella weekend hii anatarajia kufanya show 4 mfululizo katika miji tofauti nchini Australia.
Akiongea na Bongo5 wiki hii, Bella amesema show hizo zitamfungulia milango mipya ya soko la muziki wake nchini Australia.
“Kwa sasa nipo Australia kwajili ya maandalizi ya tour yangu kwa sababu nitakuwa na show nne mfululizo kwa hiyo maandalizi yalikuwa yanahitajika,” alisema Bella. “Unajua tunafanya show nje siyo tu kwajili ya kupata pesa peke yake, sisi ni wasanii lazima...
9 years ago
Bongo530 Sep
Hakuna msanii Bongo anayefanya show nyingi zaidi yangu — Christian Bella
9 years ago
Bongo521 Dec
Tazama picha za behind the scenes za video ya ‘Nagharamia’ ya Alikiba na Christian Bella
![20151221025145 (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151221025145-1-300x194.jpg)
Alikiba na Christian Bella wameachia video ya wimbo wao wa pamoja ‘Nagharamia’ iliyoongozwa na Enos Olik jijini Nairobi Kenya.
Kwenye video hiyo anaonekana msichana mrembo sana ambaye wawili hao wote anawachanganya.
Ina kisa kizuri ambacho mwisho wa siku Kiba ndiye anaondoka na mzigo na kumuacha Bella akijichekea tu kwa butwaa. Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo hapo chini.
9 years ago
Bongo501 Oct
Picha: Christian Bella awashirikisha Weusi, Nahreel kutayarisha ngoma
9 years ago
Bongo528 Sep
Hii ndio sababu ya Christian Bella kusita kufanya wimbo na Diamond
9 years ago
Bongo510 Oct
Picha: Runtown, Christian Bella, Navy Kenzo, Peter Msechu na Kala walivyotumbuiza kwenye BSS
9 years ago
Bongo514 Dec
Dully awakusanya Diamond, Christian Bella na Mzee Yusuf kwenye ngoma zake mbili mpya
![Dully](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Dully-300x194.jpg)
Baada ya kuachia kolabo yake akiwa na vijana wa Yamoto Band, Dully Sykes anatarajia kuachia kolabo zake nyingine mbili ambapo moja akiwa na Diamond na nyingine akiwa na Christian Bella na Mzee Yusuf.
Akizungumza na kipindi cha Siz Kitaa kinachoruka kupitia Clouds TV, Dully alisema tayari ameshafanya nyimbo nyingi akiwa peke yake na wakati huu ni wa kolabo.
“Mimi nimefanya nyimbo nyingi sana mwenyewe na nyingi zimefanya vizuri. Kwahiyo sasa hivi mimi natoa nyimbo ambazo nimeshirikiana. Baada...