Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii ndio sababu ya Christian Bella kusita kufanya wimbo na Diamond

Christian Bella amesema anashindwa kumwambia Diamond waingie studio na kufanya kolabo kutokana na hofu kuwa huenda muimbaji huyo asipokee vizuri ombi hilo. Bella ambaye alikuwa nyumbani kwa Diamond weekend iliyopita wakati wa 40 ya Tiffah, ameiambia Bongo5 kuwa yeye pamoja na mashabiki wake wanatamani kuona kazi yao ya pamoja. “Wasanii sisi labda nataka niimbe na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA KUFANYA USIKU WA MASAUTI

Mwanamuziki Christian Bella (katikati), akiwa akieleza jambo juu ya shoo yake inayotarajiwa kufanyika Aprili 18 mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni meneja wake John Mchaima ‘Simple’,  na kulia ni mmoja waratibu wa shoo hiyo, Rehema Jones. Mwanamuziki Christian Bella, akitoa kionjo cha wimbo wake kwenye kikao cha waandishi wa habari.…
...

 

9 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA ADAI HATOI WIMBO MPYA ILI APATE TUZO

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ amefungukia ujio wake wa sasa wa Ngoma ya Amerudi aliyoizindua mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa hatoi wimbo mpya ili apate tuzo. Staa huyo anayebamba na Ngoma ya Nashindwa, aliwaambia mashabiki wa muziki wa Dansi waliokuwa wamefurika katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar katika...

 

5 years ago

Bongo5

Christian Bella kufanya show 4 mfululizo Australia

Mkali wa masauti Christian Bella weekend hii anatarajia kufanya show 4 mfululizo katika miji tofauti nchini Australia.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Bella amesema show hizo zitamfungulia milango mipya ya soko la muziki wake nchini Australia.

“Kwa sasa nipo Australia kwajili ya maandalizi ya tour yangu kwa sababu nitakuwa na show nne mfululizo kwa hiyo maandalizi yalikuwa yanahitajika,” alisema Bella. “Unajua tunafanya show nje siyo tu kwajili ya kupata pesa peke yake, sisi ni wasanii lazima...

 

9 years ago

Bongo5

Ruby ajipanga kufanya kolabo na Christian Bella

Muimbaji wa ‘Na Yule’, Ruby amesema anatarajia kumshirikisha Christian Bella. Akizungumza kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Ruby alisema muda wowote wataingia studio na kuandaa kazi hiyo. “Tunataka kufanya kolabo kwa sababu wasanii kwa wasanii kufanya kolabo sio kitu kibaya. Halafu Bella anafanya vizuri na pia anani- appreciate na mimi nam-appreciate. He is […]

 

10 years ago

CloudsFM

Christian Bella kufanya usiku wa masauti,Escape One, Aprili 18

MWANAMUZIKI Christian Bella anatarajia kufanya shoo kubwa aliyoipa jina la Usiku wa Masauti, Aprili 18 Mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Escape One, uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Bella alisema katika usiku huo, pia atatambulisha video na audio ya wimbo wake mpya uitwao Nashindwa ambao tayari upo hewani.

“Natarajia kufanya shoo kubwa ambayo itanipa fursa ya kuwakutanisha wasanii wenzangu ambao wana nia safi ya kufanya...

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba na Christian Bella watangaza ‘dili’ kwa anayetaka kufanya filamu ya ‘Nagharamia’

Bella na Ali Kiba

Mashabiki wa Alikiba na Christian Bella muda si mrefu watapata kusikia na kuona collabo ya wakali hao waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu kwa muda mrefu.

Bella na Ali Kiba

Kiba na Bella ambao wameshoot video ya wimbo wao mpya ‘Nagharamia’ nchini Afrika Kusini, wamesema kuwa wimbo huo una story nzuri ambayo inaweza hata kutengenezewa filamu.

“Nyimbo tuliyoimba inaweza ikawa hata sound track ya movie kwasababu ni story ambayo inavutia, inapendeza…” Alikiba alifunguka kupitia 255 ya XXL. “Ni idea nzuri ambayo...

 

11 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA, AOMBA KUSHIRIKI TAMSHA LA GURUMO JUMAMOSI HII TCC CLUB

Christian Bella kutoka Malaika Music Band. MWIMBAJI anayesadikika kuwa na sauti tamu zaidi kwa sasa, Christian Bella kutoka Malaika Music Band, amesema atashiriki tamasha la Gurumo litakalofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja wa TCC Club Chang’ombe. Mratibu wa tamasha hilo, Juma Mbizo amesema Christian Bella, ameomba awekwe kwenye ratiba ya waburudishaji ambapo atapanda kuimba japo wimbo mmoja kama ishara ya kuonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani