Christian Bella kufanya usiku wa masauti,Escape One, Aprili 18
MWANAMUZIKI Christian Bella anatarajia kufanya shoo kubwa aliyoipa jina la Usiku wa Masauti, Aprili 18 Mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Escape One, uliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Bella alisema katika usiku huo, pia atatambulisha video na audio ya wimbo wake mpya uitwao Nashindwa ambao tayari upo hewani.
“Natarajia kufanya shoo kubwa ambayo itanipa fursa ya kuwakutanisha wasanii wenzangu ambao wana nia safi ya kufanya...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA KUFANYA USIKU WA MASAUTI
9 years ago
Bongo512 Oct
Ruby ajipanga kufanya kolabo na Christian Bella
5 years ago
Bongo514 Feb
Christian Bella kufanya show 4 mfululizo Australia
Mkali wa masauti Christian Bella weekend hii anatarajia kufanya show 4 mfululizo katika miji tofauti nchini Australia.
Akiongea na Bongo5 wiki hii, Bella amesema show hizo zitamfungulia milango mipya ya soko la muziki wake nchini Australia.
“Kwa sasa nipo Australia kwajili ya maandalizi ya tour yangu kwa sababu nitakuwa na show nne mfululizo kwa hiyo maandalizi yalikuwa yanahitajika,” alisema Bella. “Unajua tunafanya show nje siyo tu kwajili ya kupata pesa peke yake, sisi ni wasanii lazima...
9 years ago
Bongo528 Sep
Hii ndio sababu ya Christian Bella kusita kufanya wimbo na Diamond
9 years ago
Bongo503 Nov
Alikiba na Christian Bella watangaza ‘dili’ kwa anayetaka kufanya filamu ya ‘Nagharamia’
Mashabiki wa Alikiba na Christian Bella muda si mrefu watapata kusikia na kuona collabo ya wakali hao waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu kwa muda mrefu.
Kiba na Bella ambao wameshoot video ya wimbo wao mpya ‘Nagharamia’ nchini Afrika Kusini, wamesema kuwa wimbo huo una story nzuri ambayo inaweza hata kutengenezewa filamu.
“Nyimbo tuliyoimba inaweza ikawa hata sound track ya movie kwasababu ni story ambayo inavutia, inapendeza…” Alikiba alifunguka kupitia 255 ya XXL. “Ni idea nzuri ambayo...
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’
Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
10 years ago
GPLHAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA
9 years ago
Bongo526 Oct
Music: Christian Bella — Umefulia