HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA
![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xXzXfwLzSnf5et*1bgxiZSvqPBpLUvPNG38miKxcLssqKFXUzhzeP3uAPrHr8JkfcFclLIezDPhfb-rD3I4bYm/frontWIKIENDA.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda Wikiendi iliyopita, dunia nzima ilikuwa ikiadhimisha siku ya Valentine’s Day au kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao! Mambo yalinoga ndani ya Ukumbi wa Dar Live ambapo wakali wa mapenzi, Christian Bella ‘Obama’ na Mzee Yusuf walifanya yao na kuzikonga vilivyo nyoyo za maelfu ya mashabiki waliofurika, Ijumaa Wikienda lilikuwepo kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Mkali wa mapenzi,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Sep
Hakuna msanii Bongo anayefanya show nyingi zaidi yangu — Christian Bella
10 years ago
GPL08 Dec
NANI KAMA MAMA YA CHRISTIAN BELLA ILIVYOTAMBULISHWA DAR LIVE
11 years ago
GPL21 May
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5V71o8UxWRU/default.jpg)
10 years ago
Bongo508 Sep
Video: Christian Bella azungumzia siri ya kufanikiwa kama msanii wa bendi anayejitegemea
11 years ago
Bongo505 Aug
Christian Bella asema aliutunga ‘Nani Kama Mama’ baada ya kumshuhudia mkewe akijifungua
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/mGytmWX5VY4/default.jpg)
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’
![12301240_431794427022691_698500110_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301240_431794427022691_698500110_n-300x194.jpg)
Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
9 years ago
Bongo526 Oct
Music: Christian Bella — Umefulia