Christian Bella asema aliutunga ‘Nani Kama Mama’ baada ya kumshuhudia mkewe akijifungua
Muimbaji na kiongozi wa Malaika Band, Christian Bella anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Nani Kama Mama’ amesema wimbo huo aliutunga baada ya kumshuhudia live mke wake akijifungua. “Mwaka 2012 nilienda Sweden kwa mke wangu ambaye alikuwa anajifungua hivyo nililazimika kuwepo ili kushuhudia mtoto wangu akizaliwa,” ameliambia gazeti la Mwanaspoti.”Nilishuhudia kila kitu na sasa nina watoto […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL08 Dec
NANI KAMA MAMA YA CHRISTIAN BELLA ILIVYOTAMBULISHWA DAR LIVE
11 years ago
GPL21 May
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Bella aitikisa DARLIVE usiku wa nani kama Mama
Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Nyomi ya mashabiki walijitokeza katika uzinduzi wa albamu yake mpya ya Nani Kama Mama ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Madansa wa Malaika Music bendi wakifanya yao.
Mashabiki wakicheza na Christian Bella ‘Obama’.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo ya mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ (hayupo pichani).
Christian...
10 years ago
GPLBELLA AITIKISA DAR LIVE USIKU WA NANI KAMA MAMA
10 years ago
GPLUZINDUZI WA ‘NANI KAMA MAMA’ YA BELLA USIPIME
10 years ago
GPLUSIKU WA NANI KAMA MAMA DAR LIVE... BELLA KUWEKA HISTORIA MPYA
10 years ago
GPLUSIKU WA NANI KAMA MAMA DAR LIVE BELLA KUWEKA HISTORIA LEO